Uchaguzi 2020 Mimi ni mwana CCM ila safari hii, kura yangu tu naihamisha

Embu kuwa na moyo kama mtoa mada.

Kwanini na wewe usipigie upinzani halafu uone itakuwaje

Nimezaliwa ndani ya CCM, nimekuzwa kwa Mfumo wa CCM, nimekuwa na Maisha ya CCM, sijaona ubaya wa CCM na nitakufa nikiwa mwana CCM.
 
Nitabakia CCM ila mwaka huu naamua kufanya maamuzi magumu. Kura yangu nitaipeleka kwa mtu mwengine, mbunge mwengine, simupi mugombea yeyote wa CCM, yaani ni maamuzi ambayo ninataka kuona kama tukishindwa itakuwaje, hao watakao shika uongozi watatufanyia nini, kama ni moto au pepo.

Nione viongozi wetu watakiendeleza chama chetu CCM au watatimkia kusikojulikana na kutuwacha wanachama wao gizani.

Uchaguzi huu kura yangu chama changu cha CCM hakitaiona kuanzia Rais hadi balozi wa nyumba kumikumi,naihamisha na kuiwekeza chama kingine. Ni majaribio ambayo kama mwananchi nina haki na zaidi napenda nione tutakaposhindwa sisi CCM itakuwaje chama kitakufa? Maswali ni mengi kuliko majawabu.

Na zaidi kura ni siri yangu na Mungu wangu, kwenye sanduku hakuna mjumbe wala tarishi ni mimi na sanduku na anaeshuhudia ni Mungu, siogopi kitu kuipeleka kura yangu popote pale ila sio CCM, ili nipate kujua hawa viongozi wetu tutakaposhindwa wataendelea kuwa nasi, au wanatutumia tu kwa wao kushibisha matumbo yao na kutufanya sisi kama ngazi, nahitaji kulijua hili na ili kulijua kwa undani ni kwa mwaka huu kuikosesha kura chama changu.

Shime wana CCM, hamna haja ya kurudisha kadi wala kuhama chama, mwaka huu tu fanya maamuzi magumu kuikosesha CCM chama chetu kura, ili tukwapime hawa viongozi wetu.
Mkuu Shocker, nawe pia ni mojawapo wa wahanga wa wajumbe? All in all, uamuzi huo ni mzuri sana kwa mtu yeyote mwenye kuijali Tanzania ya kesho.
 
Nitabakia CCM ila mwaka huu naamua kufanya maamuzi magumu. Kura yangu nitaipeleka kwa mtu mwengine, mbunge mwengine, simupi mugombea yeyote wa CCM, yaani ni maamuzi ambayo ninataka kuona kama tukishindwa itakuwaje, hao watakao shika uongozi watatufanyia nini, kama ni moto au pepo.

Nione viongozi wetu watakiendeleza chama chetu CCM au watatimkia kusikojulikana na kutuwacha wanachama wao gizani.

Uchaguzi huu kura yangu chama changu cha CCM hakitaiona kuanzia Rais hadi balozi wa nyumba kumikumi,naihamisha na kuiwekeza chama kingine. Ni majaribio ambayo kama mwananchi nina haki na zaidi napenda nione tutakaposhindwa sisi CCM itakuwaje chama kitakufa? Maswali ni mengi kuliko majawabu.

Na zaidi kura ni siri yangu na Mungu wangu, kwenye sanduku hakuna mjumbe wala tarishi ni mimi na sanduku na anaeshuhudia ni Mungu, siogopi kitu kuipeleka kura yangu popote pale ila sio CCM, ili nipate kujua hawa viongozi wetu tutakaposhindwa wataendelea kuwa nasi, au wanatutumia tu kwa wao kushibisha matumbo yao na kutufanya sisi kama ngazi, nahitaji kulijua hili na ili kulijua kwa undani ni kwa mwaka huu kuikosesha kura chama changu.

Shime wana CCM, hamna haja ya kurudisha kadi wala kuhama chama, mwaka huu tu fanya maamuzi magumu kuikosesha CCM chama chetu kura, ili tukwapime hawa viongozi wetu.
jinsi siasa za kibongo zilivyo huwa naangaika na kuchagua raisi hawa wabunge bora liende tu, kwa hiyo raisi ni magu
 
Shocker,

Sitokihama Chama changu cha CCM na nitakipigia Kura zote hadi kwa Rais JPM, ila nataka 'Wapinzani' wakipe sana 'Jamba Jamba' ili Kibadilike pia.
UKIKIPIGIA KURA UNAWAPUNGUZIA JAMBAJAMBA MM WANA CCM BY BLOOD ILA THIS TIME NTAMPIGIA NTAEONA ANAMSHINDA WA CCM
 
Nimezaliwa ndani ya CCM, nimekuzwa kwa Mfumo wa CCM, nimekuwa na Maisha ya CCM, sijaona ubaya wa CCM na nitakufa nikiwa mwana CCM.
Kama sio selfish ungetambua ubaya wa CCM ila nyie CCM masilahi Bajini huko. Watu tunataka kujenga nchi na sio kutengeneza makundi. Kama tutasifia wote atawezaje kututesa wote?
 
Hawa ni ccm tumboni. Unaona huyo jamaa genta anajua kabisa chama ni cga hovyo na anatamani kipigwe jamba jamba lakini eti atakipigia kura😅😅
 
Hekta mcmbazi mwenzangu ila kwa ccm we are too tofauti
 
Mimi mwanaCCM na sihami pia, tena umenikumbusha kulipia kadi yangu. Ila kura sitowapa wanaCCM.
 
Mi Upinzani tangu mzee wa Kilalacha ila kwa urais nampa Jpm
Wengine upinzani. Hiki chuma natamani kije kwetu upinzani
 
Mimi nimedhamiria kwa dhati kwa mara ya kwanza katika maisha yangu kuwa nitwapigia Chadema na wakishinda halafu shida zakawa pale pale nitajua pasi na shaka kuwa wanalipa madeni ya ndege na uwanja wa Chato huko maporini

NINACHOTAKA NI CCM IACHIE MADARAKA TUWAONE NA WENGINE

TOKEA TUMEZALIWA NI WAO TU
 
Nitabakia CCM ila mwaka huu naamua kufanya maamuzi magumu. Kura yangu nitaipeleka kwa mtu mwengine, mbunge mwengine, simupi mugombea yeyote wa CCM, yaani ni maamuzi ambayo ninataka kuona kama tukishindwa itakuwaje, hao watakao shika uongozi watatufanyia nini, kama ni moto au pepo.

Nione viongozi wetu watakiendeleza chama chetu CCM au watatimkia kusikojulikana na kutuwacha wanachama wao gizani.

Uchaguzi huu kura yangu chama changu cha CCM hakitaiona kuanzia Rais hadi balozi wa nyumba kumikumi,naihamisha na kuiwekeza chama kingine. Ni majaribio ambayo kama mwananchi nina haki na zaidi napenda nione tutakaposhindwa sisi CCM itakuwaje chama kitakufa? Maswali ni mengi kuliko majawabu.

Na zaidi kura ni siri yangu na Mungu wangu, kwenye sanduku hakuna mjumbe wala tarishi ni mimi na sanduku na anaeshuhudia ni Mungu, siogopi kitu kuipeleka kura yangu popote pale ila sio CCM, ili nipate kujua hawa viongozi wetu tutakaposhindwa wataendelea kuwa nasi, au wanatutumia tu kwa wao kushibisha matumbo yao na kutufanya sisi kama ngazi, nahitaji kulijua hili na ili kulijua kwa undani ni kwa mwaka huu kuikosesha kura chama changu.

Shime wana CCM, hamna haja ya kurudisha kadi wala kuhama chama, mwaka huu tu fanya maamuzi magumu kuikosesha CCM chama chetu kura, ili tukwapime hawa viongozi wetu.
Huna akili wewe
 
Kweni CCM inamkataba wa kitawala Nchii milele
Iking"agania kubaki madarakani tutaichapa halafu watatuletea Policcm na wao wanakula kibano na silaha zao tunawanyanya wajeda wakija kisiasa na kuanza kulaza Watanzia ndipo tutakapowakumbsha hio ni JW jeshi letu sisi

Wakijitia kichwa ngumu tunaeaeleka kwanye Urban warefare hayo haina ujanja

Mpaka Raisi tuliomchagua aapishwe
 
Uamuzi wa kiukombozi maana ni kweli ccm imejenga mazoea tu ila good governance wamefeli
 
Mkuu uko kama mimi. Ila ni tofauti kidogo, nilifanya maamuzi magumu ya kuhama moja kwa moja na kumfuata Lissu. Sikutaka kumfuata nusu nusu.

Mtaani huku tumechoka kweli. Tulikuwa standby kusubiri nani anatutoa huku kwenye dimbwi la umaskini, uvunjifu wa haki za binadamu kuliko kithiri, ubinafsi, umwamba umwamba (mtu hashauriki, haambiliki -anatupelekesha kama anaongoza familia yake bwana).! Tumechoka kwa kweli.

TL for presidency..
 
Back
Top Bottom