Uchaguzi 2020 Mimi ni mwana CCM ila safari hii, kura yangu tu naihamisha

Embu kuwa na moyo kama mtoa mada.

Kwanini na wewe usipigie upinzani halafu uone itakuwaje

Nimezaliwa ndani ya CCM, nimekuzwa kwa Mfumo wa CCM, nimekuwa na Maisha ya CCM, sijaona ubaya wa CCM na nitakufa nikiwa mwana CCM.
 
Mkuu Shocker, nawe pia ni mojawapo wa wahanga wa wajumbe? All in all, uamuzi huo ni mzuri sana kwa mtu yeyote mwenye kuijali Tanzania ya kesho.
 
jinsi siasa za kibongo zilivyo huwa naangaika na kuchagua raisi hawa wabunge bora liende tu, kwa hiyo raisi ni magu
 
Shocker,

Sitokihama Chama changu cha CCM na nitakipigia Kura zote hadi kwa Rais JPM, ila nataka 'Wapinzani' wakipe sana 'Jamba Jamba' ili Kibadilike pia.
UKIKIPIGIA KURA UNAWAPUNGUZIA JAMBAJAMBA MM WANA CCM BY BLOOD ILA THIS TIME NTAMPIGIA NTAEONA ANAMSHINDA WA CCM
 
Nimezaliwa ndani ya CCM, nimekuzwa kwa Mfumo wa CCM, nimekuwa na Maisha ya CCM, sijaona ubaya wa CCM na nitakufa nikiwa mwana CCM.
Kama sio selfish ungetambua ubaya wa CCM ila nyie CCM masilahi Bajini huko. Watu tunataka kujenga nchi na sio kutengeneza makundi. Kama tutasifia wote atawezaje kututesa wote?
 
Kama sio selfish ungetambua ubaya wa CCM ila nyie CCM masilahi Bajini huko. Watu tunataka kujenga nchi na sio kutengeneza makundi. Kama tutasifia wote atawezaje kututesa wote?
Hawa ni ccm tumboni. Unaona huyo jamaa genta anajua kabisa chama ni cga hovyo na anatamani kipigwe jamba jamba lakini eti atakipigia kura😅😅
 
Hawa ni ccm tumboni. Unaona huyo jamaa genta anajua kabisa chama ni cga hovyo na anatamani kipigwe jamba jamba lakini eti atakipigia kura😅😅
Hekta mcmbazi mwenzangu ila kwa ccm we are too tofauti
 
Mimi mwanaCCM na sihami pia, tena umenikumbusha kulipia kadi yangu. Ila kura sitowapa wanaCCM.
 
Mi Upinzani tangu mzee wa Kilalacha ila kwa urais nampa Jpm
Wengine upinzani. Hiki chuma natamani kije kwetu upinzani
 
Mimi nimedhamiria kwa dhati kwa mara ya kwanza katika maisha yangu kuwa nitwapigia Chadema na wakishinda halafu shida zakawa pale pale nitajua pasi na shaka kuwa wanalipa madeni ya ndege na uwanja wa Chato huko maporini

NINACHOTAKA NI CCM IACHIE MADARAKA TUWAONE NA WENGINE

TOKEA TUMEZALIWA NI WAO TU
 
Huna akili wewe
 
Kweni CCM inamkataba wa kitawala Nchii milele
Iking"agania kubaki madarakani tutaichapa halafu watatuletea Policcm na wao wanakula kibano na silaha zao tunawanyanya wajeda wakija kisiasa na kuanza kulaza Watanzia ndipo tutakapowakumbsha hio ni JW jeshi letu sisi

Wakijitia kichwa ngumu tunaeaeleka kwanye Urban warefare hayo haina ujanja

Mpaka Raisi tuliomchagua aapishwe
 
Uamuzi wa kiukombozi maana ni kweli ccm imejenga mazoea tu ila good governance wamefeli
 
Mkuu uko kama mimi. Ila ni tofauti kidogo, nilifanya maamuzi magumu ya kuhama moja kwa moja na kumfuata Lissu. Sikutaka kumfuata nusu nusu.

Mtaani huku tumechoka kweli. Tulikuwa standby kusubiri nani anatutoa huku kwenye dimbwi la umaskini, uvunjifu wa haki za binadamu kuliko kithiri, ubinafsi, umwamba umwamba (mtu hashauriki, haambiliki -anatupelekesha kama anaongoza familia yake bwana).! Tumechoka kwa kweli.

TL for presidency..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…