Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Kile ulichokiandika uka hold nikajua umetania kumbe ume maanishaAaah we usijitie huoni. Yaani nimerudia, nimebold na kubold halafu bado unataka nidefine upya.
Labda uniambia umeireject hiyo picha yangu ya Mungu alivyo ['definition']. Sema kuwa umeidebunk hiyo picha ninayokuchorea tujue moja.
Watu na mimea ndio Mungu
Sasa ikiwa ndio hivyo unadhani kuna haja ya kwenda step inayofuata kuthibisha?
Yani kwa tafsiri fupi ni kwamba umeamua kuitambua mimea na wanyama kwa jina la Mungu