Kile ulichokiandika uka hold nikajua umetania kumbe ume maanishaAaah we usijitie huoni. Yaani nimerudia, nimebold na kubold halafu bado unataka nidefine upya.
Labda uniambia umeireject hiyo picha yangu ya Mungu alivyo ['definition']. Sema kuwa umeidebunk hiyo picha ninayokuchorea tujue moja.
Noo hapa sithibitishi kitu, mbona bado tupo katika level ya kudefine kwanzaUnajua unachanganya mambo mengi mpaka nashindwa kukuelewa
Kwanini unatumia hoja ya vitu ambavyo vinathibitishika kama jaribio la kuthibitisha madai mengine ambayo hayajathibitishwa?
Mi nafikiri utambuzi wa kujua kuwa tupo chini ya Mungu ulipaswa kuzingatia hitimisho liliopatikana baada ya uchunguzi ulioweza kuthibitisha Mungu yupoMungu yupo kama hivi: [analojia] Yaani chukulia mimi na wewe na mimea na wanyama na kila kitu ni kama seli zilizo chini ya Mungu mmoja.? Ukijumlisha na concept ya draga kuwa ni nishati. Nishati ambayo inachukua form mbalimbali kulingana na inapojiexpress, na kikwetu ipo conscious.
Nataka tukubaliane kama unakubali hii picha[definition] mr Scars ?
Anhaa kwamba ile hoja ya kusema wewe na mimi tuko chini ya Mungu ni kama definition?Noo hapa sithibitishi kitu, mbona bado tupo katika level ya kudefine kwanza
Tukubaliane kwanza kama tunaelewa tunatafuta uthibitisho wa phenomenon gani, ndio tuanze kuitafuta
Shida ni kwamba hatuwezi kuthibitisha kwenda juu maana tumo ndani ya kithibiti.Mi nafikiri utambuzi wa kujua kuwa tupo chini ya Mungu ulipaswa kuzingatia hitimisho liliopatikana baada ya uchunguzi ulioweza kuthibitisha Mungu yupo
Labda ni flip hiyo hoja kwa namna nyingine halafu nione kama utakubaliana nayo
Yani isomeke mimi na wewe tuwe chini ya Spiderman ambaye ndiye controller anatu monitor sisi,
Vipi hapo hiyo itakuwa ni nice move kwa kuthibitisha spiderman yupo?
Kama huwezi kuthibitisha umewezaje kujua kua Mungu yupo?Shida ni kwamba hatuwezi kuthibitisha kwenda juu maana tumo ndani ya kithibiti.
Ila tunaweza kwa kuangalia chini yetu tukasoma kwamba anhaaa kumbe na juu inawezekana pako namna hii. Kuna kitu mimi kilinisaidia pamoja na hii baiolojia. Nacho ni fractal geometry. Kacheki haka kajani na sisi ndio hizo nimeindicate 'maelfu ya seli'View attachment 2234845
It feels right, it feels like this is the way things are. It resonates with deep inside me. It agrees with all the truth I have known untill today.Kama huwezi kuthibitisha umewezaje kujua kua Mungu yupo?
Nawe piaIt feels right, it feels like this is the way things are. It resonates with deep inside me. It agrees with all the truth I have known untill today.
I have some reasons to trust this insight, I have not seen a fact that contradicts with this truth.
And I choose to believe in the revelation of further truth. The truth which I could not discover all by myself. But the Son revealed it to us. We are of God our Father and we live for mankind. Usiku mwema bro👊.
Uthibitisho ni mimi binafsi tu nmejitambua, mimi ni nan nikiondoa majina yote kazi zote rangi yangu na identity zote nizopata huku duniani, huu ni uthibitisho sahihi kabsa , ila mimi kukudhibitishia wewe unatakiwa uamke kwanza ndio utaelewa, sasa wewe umelala ndani yako unaoperate kiakili zaidi itakua ni ngumu japo naweza kukudhibitishia ukiamka.Hujaelewa
Umenipa ruksa ya kujichangulia aina ya uthibitisho kwa maana upo mwingi
Mimi nimetaka uchague wewe kwa kuzingatia uthibitisho wenye nguvu ambao hata wewe unaupa asilimia kubwa za kujengea hoja kuliko uthibitisho mwingine
Nimekuheshimu;Uthibitisho ni mimi binafsi tu nmejitambua, mimi ni nan nikiondoa majina yote kazi zote rangi yangu na identity zote nizopata huku duniani, huu ni uthibitisho sahihi kabsa , ila mimi kukudhibitishia wewe unatakiwa uamke kwanza ndio utaelewa, sasa wewe umelala ndani yako unaoperate kiakili zaidi itakua ni ngumu japo naweza kukudhibitishia ukiamka.
Hawa jamaa wala hawana shida ,dini zimeuficha ukwel makusudi ndo maana nafsi za hawa zimeshindwa kuridhika na majibu mepesi ya Kwenye dini kuhusu Mungu, coz wanajua kabsa kutokea ndani apa wamedanganywa makusudi coz ndani yao wanamjua Mungu wakweli ila wanashindwa kujua watamfikiaje kwa sababu Hawaoni msaada kupitia dini zao.Nimekuheshimu;
Wapingaji wote wameonekana kutojitambua. Ukiwauliza maswali yanayoelekeana na hilo wote huwa wanapoteana
Wewe kujitambua kuna uhusiano gani hapo na swala la kuwepo Mungu?Uthibitisho ni mimi binafsi tu nmejitambua, mimi ni nan nikiondoa majina yote kazi zote rangi yangu na identity zote nizopata huku duniani, huu ni uthibitisho sahihi kabsa , ila mimi kukudhibitishia wewe unatakiwa uamke kwanza ndio utaelewa, sasa wewe umelala ndani yako unaoperate kiakili zaidi itakua ni ngumu japo naweza kukudhibitishia ukiamka.
Mungu yupo ndani yako sasa usipo jitambua utamjuaje? Mwili wa mtu nikama nyumba na umeme ni kama Mungu,ukitaka kudhibitisha nyumba ina umeme utaangalia effect ya ule umeme kwa nje na kwa ndani yaani mwanga, ukitaka kumjua Mungu kupitia mtu Angelina nguvu ya uhali ndani yake , pia ngalia Matendo ya uumbaji kwa nje mfano kuzaliana utashi na np note: nguvu hii ipo kila mahaliWewe kujitambua kuna uhusiano gani hapo na swala la kuwepo Mungu?
Kwani kunanini kinachokupa nguvu kusmea hakuna the last creator ?Wewe kujitambua kuna uhusiano gani hapo na swala la kuwepo Mungu?
Ung'amuzi: Mtu afikiriavyo/awazavyo/aaminivyo huumba hali ambazo humtokea akaziishi katika hali ya uhai na ufuReality, tumetoka kuiweka sawa nilipomjibu kwa post namba 225. Najua ameisoma na kuikubali na hajataka tu kuitolea majibu [nimechukulia silence means yes]
Tukiachana na pande tulizoshikilia [za God or no God] kuna kitu kimoja hapa natamani kila mmoja binafsi akichallenge kwa uelewa wake kwa kile anachoona ni sensible:
Hoja kuu: Tunauishi ukweli kulingana na tunachohisi ni kweli binafsi. Yaani mimi binafsi ninaushi ukweli ninaoujua binafsi kwamba ni ukweli na ndio iko hivyo. Na wewe binafsi unauishi uhalisia wako binafsi kutokana na unachokijua kuwa ni kweli wewe mwenyewe. Mambo ya relativity.
Mfano 1.a. Yule anayeamini ukweli wa maisha baada ya kifo basi akifa ataendelea kuishi katika namna sambamba na alivyoamini. Huyu ameamini katika uhai
1.b. Na yule aliyeamini kuwa hakuna lolote la ziada ukweli ni mnyama akifa kila kitu kinasambaratika na kuwa viinilishe kwa wanyama wengine basi akifa atapata sambamba na ukweli wake binafsi. Huyu ameamini katika kifo
Ugumu ule ule ambao unaoupata wewe kusema kuwa kuna spiderman, teapot inayo orbit jua, unicorn nkKwani kunanini kinachokupa nguvu kusmea hakuna the last creator ?