Mimi ni Mwanaume wa miaka 27, natafuta mke wa kuoa

Mimi ni Mwanaume wa miaka 27, natafuta mke wa kuoa

Mr Eli

Member
Joined
Dec 23, 2024
Posts
19
Reaction score
13
Mimi ni Mwanaume wa miaka
27 ,
Dini yangu , ni mkristo.
naishi DAR
kazi yangu ni muajiliwa
elimu yangu ni DIPLOMA.

Natafuta mke mwenye SIFA zifuatazo ,

*awe mkristo

*Awe anaishi dar
*awe ameajiliwa au anafanya biashara

awe na miaka kwanzia 20 adi 26.

*ALIYE TAYALI NA MWENYE SIFA HIZO ANIFUATE PM
 
27 mboni bado sana unawahi wapi subiri ufike angalau 40 au 45 angalau ndio uoe hapo hata mkeo akienda kuliwa nje huko huna cha kujutia ushakula raha vya kutosha unajiuguza kisukari chako sasa 27 na unataka 20 mpaka 26 kesho kutwa tutasikia umemtenganisha kichwa na mwili wake ungesema awe na miaka 15 au 16 ningekuelewa km huna akili huwezi kunielewa
 
27 mboni bado sana unawahi wapi subiri ufike angalau 40 au 45 angalau ndio uoe hapo hata mkeo akienda kuliwa nje huko huna cha kujutia ushakula raha vya kutosha unajiuguza kisukari si sasa 27 na unataka 20 mpaka 26 kesho kutwa tutasikia umemtenganisha kichwa na mwili wake ungesema awe na miaka 15 au 16 ningekuelewa km huna akili huwezi kunielewa
 
Du 27! Ila freshi kwasababu za kidini... hutaki kuzini
 
Mtaani, shule, chuoni, kazini kwenye nyumba za ibada umekosa hadi uje kutafuta huku mitandaoni?

.........Huku utapata waliokuhubu mdogo wetu.
 
Wahi mkuu uyazoee maisha ya ndoa
Screenshot_20241226-002405.jpg
 
Mtaani, shule, chuoni, kazini kwenye nyumba za ibada umekosa hadi uje kutafuta huku mitandaoni?

.........Huku utapata waliokuhubu mdogo wetu.
hapa JF ndio mtaani, shule, chuoni, kazini na kwenye nyumba za ibada
 
27 mboni bado sana unawahi wapi subiri ufike angalau 40 au 45 angalau ndio uoe hapo hata mkeo akienda kuliwa nje huko huna cha kujutia ushakula raha vya kutosha unajiuguza kisukari chako sasa 27 na unataka 20 mpaka 26 kesho kutwa tutasikia umemtenganisha kichwa na mwili wake ungesema awe na miaka 15 au 16 ningekuelewa km huna akili huwezi kunielewa
Huwa hatubishani nawa kubwa.
 
Huwa hatubishani nawa kubwa.
Mwambie basi huyo mkubwa akuletee mke umuoe km kweli hautaki kubishana nae mwambie mimi mke nimekosa niletee mke kutoka huko bush mije nile nae dona huku mjini
 
Mbona mnanitisha jamani
Sikutishi, kwa umri wako na matatizo unayoyatafuta ni vitu viwili tofauti.
Kwa umri wako huo ukifanikiwa kuoa, baada ya miaka 3 au 4 unaweza anza kuishi a boring and sad life for the rest of your life.
NB: maneno yangu sio sheria
.
 
Back
Top Bottom