Mimi ni Mwanaume wa miaka 27, natafuta mke wa kuoa

hapa JF ndio mtaani, shule, chuoni, kazini na kwenye nyumba za ibada
Hakuna wife material utayempata humu.

..........Jiandane kubeba UTI sugu na matatizo mengine yote.
 
watoto wa 2000 mchongo huo
 
Miaka 27 unawahi nini humo kwa ndoa jombaa
 
Weka wazi matatizo uliyo nayo hadi kuja online
 
😂😂 mwamba kichupa kimejaa ,huku wakuu wa hizi kazi wanamwambia mda badoo,, subiri kwanzaaaaa, ,, kijana kavurugwaaaa hadi anauliza"""Kwani ni mapema sana ?"""
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…