"Mimi ni Mwenzenu Hapa, Sijabadilika ni Yule Yule "KaJoni" - Ni Maneno Simple, Humble and Down to Earth Yenye Maana Kubwa!

Kama anamaanisha kuwa yeye ni kama wengine, aende hatua moja mbele. Awaone na wale waliofunguliwa kesi za uhujumu uchumi ni binadamu kama yeye. Ana uwezo wa kuwatoa kwa sababu waliofanya hivyo, ama walifanya kwa maelekwzo yake au kwa nia ya kumfurahisha yeye.

Wale ni binadamu kama yeye. Wana familia kama yeye. Wanaumia kama ambavyo yeye angeumia. Haiwezekani, haiwezekani kabisa, mhujumu uchumi na mtakatishaji fedha, ushahidi ukosekane zaidi ya miezi 6 halafu uendelee kuamini kuwa kukamatwa kwake kuliendana na kutendewa haki.

Hata akanena nini, hata akasali mchama na usiku, hata akahamishia na godoro kanisani, hata akatoa sadaka kubwa namna gani, maadamu kuna watu wanaoumia kwa uonevu na kwa maelekezo yake, yote hayo yataonekana ni bure na unafiki mkubwa.

Amrudie Mungu wa kweli kwa yeye mwenyewe kutenda haki na kuwaelekeza wateule wake ba vyombo vyote vya serikali vitende haki kwa wote, wakati wote.
 
Kwa mara ya kwanza kabisa, naomba kukiri kwamba Paschal unajua kuitumia kalamu yako.

Mara nyingi uhuru wa mwandishi huwa hautokani na nini alichokiandika bali namna alivyokiandika na ujuzi wake katika kutumia lugha na falsafa yake.

Huwa kuna wakati unarushiwa maneno kumbe kwa sababu ya kile ulichokisema, utofàuti wa kusoma na kuelewa kilchoandikwa.

Umeongea vizuri.
Umeeleweka sana.
Hongera sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
T
Kaka Pascal Mayalla mimi ni Mhaya, lakini maisha yangu yote ya kazi ya miaka 21sasa nimefanya Nazi Usukumani. Wasukuma wana " KA" na "LI". Hizi silabi zikitumika kama prefix kwenye jina au cheo cha mtu yana maana tofauti na umbo la mtu.
Mkuu mhaya gani hana akili kama wewe? Usijipendekeke kwa wahaya, husitahili hata kulegeza gidamu za za viatu vyao. Mhaya gani an a support Ccm .

mkoa wa kagera umedidimia kabisa kwa sababu ya Sera mbovu za ccm
 


Huwa namwazia sana Kabendera maskini..ova "KaJohn alipokwa demu wake jamani akaamua kumkomoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…