"Mimi ni Mwenzenu Hapa, Sijabadilika ni Yule Yule "KaJoni" - Ni Maneno Simple, Humble and Down to Earth Yenye Maana Kubwa!

Paskali, once ka-joni always ka-joni, hiyo ni special kwa watu fulani tu. Kumbuka mara mbili amewahi kutamka kwamba "msiwavunjie nyumba zao hawa. Walinipa kura zao". Wakati anatamka hayo, bomoa bomoa ya kufa mtu ilikuwa inaendelea maeneo ya kimara. Kwa hiyo huko usukumani alikuwa ka-joni, huku kwingine alikuwa Li-Joni.

Kwa Psychoanalysts, utasema ni kesi ya Dr. Jekyll and Mr. Hyde? kwa sababu kwa upande mmoja anawachukia sana watu wa kaskazini toka moyoni kabisa, anawachukia wapinzani toka moyoni kabisa. Mpaka anahoji inawezekanaje mtu kabisaa na akili zake, amwamini mtu anaitwa Mushi?

Kwa upande mwingine, anawapenda sana watu wa kanda ya ziwa, toka moyoni kabisa. Kwa hiyo naomba hiyo psychoanalysis yako uiongezee hizo parameters. Ni genuine Aina shaka, lakini ni kwa watu fulani tu.

Huwa namtizama sana rais Magufuli anapohutubia. Kuna wakati anataka kuhakikishia hadhira kwamba yeye siyo mtu mbaya. Kuna siku nilimsikia akitamka kwamba "jamani, mimi sio kichaa", halafu akatabasamu. Yaani lile tabasamu lilinitisha. Halikunipa matumaini.

Nikamkumbuka James Hadley Chase Katika novel moja jamaa anasema "it is like you meet a snake and it smiled at you. You won't be reassured".
 
Wanabodi,
"This man is changing for the better" tunaweza kushangaa kuja kufikia 2025, rais Magufuli aka end up kuwa the best president this country had ever had.
Pasakali.
Naendelea kusisitiza, kama tunataka the best, twende tukapige kura, na tumchague
P
 
Wanabodi, mimi ni miongoni mwa wana jf, tuliandika mengi kumhusu rais wetu, Dr. John Pombe Joseph Magufuli, hivyo kipindi hiki cha maombolezo, napitia baadhi ya mabandiko kwa ajili ya kumuoga rasmi.
Japo umetangulia, lakini kauli zako, maono yako na kile ulichokiamini, kitabaki na sisi Milele.
Sisi tulikupenda, lakini Mungu amekupenda zaidi.
Bwana Alitoa, Bwana Ametwaa, Jina Lake Lihimidiwe!.
Raha ya Milele Umpe Ee Bwana, na Mwanga wa Milele, Umuangazie, Apumzike kwa Amani...Amina x 3.
RIP Dr. John Pombe Joseph Magufuli
Buriani ya kuonana...
Paskali
 
Hii kauli ya sisi tulikupenda lakini Mungu alikupenda zaidi inabidi muache kuitumia maana haina maana hata kidogo.

Fikiria: wote waliokufa hakuna mtu wa motoni kwa kuwa Mungu amewapenda zaidi? Tafakari.
 
Kamefufukia wapi haka nako?
 
Hii kauli ya sisi tulikupenda lakini Mungu alikupenda zaidi inabidi muache kuitumia maana haina maana hata kidogo.

Fikiria: wote waliokufa hakuna mtu wa motoni kwa kuwa Mungu amewapenda zaidi? Tafakari.
Mungu ndiye muumba wa vyote, God The Creator, and the giver of life. It's only God who takes away the life, yaani kila kifo ni kazi ya Mungu, baada ya hapo ndipo unakwenda kwenye hukumu ya mwisho ya ama kwenda mbinguni ama peponi.
P
 
Mungu ndiye muumba wa vyote, God The Creator, and the giver of life. It's only God who takes away the life, yaani kila kifo ni kazi ya Mungu, baada ya hapo ndipo unakwenda kwenye hukumu ya mwisho ya ama kwenda mbinguni ama peponi.
P
Hivi ni kweli ccm walimtukuza mtu badala ya Muumba?
 
H
Mungu ndiye muumba wa vyote, God The Creator, and the giver of life. It's only God who takes away the life, yaani kila kifo ni kazi ya Mungu, baada ya hapo ndipo unakwenda kwenye hukumu ya mwisho ya ama kwenda mbinguni ama peponi.
P
Hujanielewa, ninafahamu kuwa kifo ni kazi ya Mungu, hoja yangu ni usemi wa "sisi tulikupenda lakini Mungu alikupenda zaidi" kwangu mimi huu usemi hauna maana kwa sababu.....

Kama wote wanaokufa ni kweli kuwa Mungu anawapenda basi pasingekuwa na mtu/kiumbe wa motoni.
 
Ulikuwa unasifia ili upate teule, alikustukia.
ulichojaribu kumuuzia hakununua

sasa sijui unataka kuhamishia goli wapi tena
 
Mungu ndiye muumba wa kila kitu, The Almighty God, The Creator, na ni Mungu ndiye huchukua uhai, yaani life, au roho, kile kilicholala kwenye sanduku, na kuzikwa kaburini ni mwili tuu, roho ambayo ni uhai, imeisha chukuliwa na Mungu. Hivyo kila kifo ni kazi ya Mungu. Baada ya roho kuacha mwili, hiyo roho ndiyo inayokwenda kwenye hukumu ya mwisho ya ama kuingia peponi au motoni.

Hivyo kila anayekufa, ameitwa na Mungu, regardless utaishia peponi au motoni!.
P
 
Wanabodi,
hiki nilichokisema kwenye bandiko hili, kimethibitishwa na Msaidizi huyu wa JPM


This is the other side of JPM, ni wachache sana wanayoifahamu, I'm very proud to be among the few tuliomjua JPM on this side!.
RIP JPM
Paskali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…