Wananchi hao kwiyooo?Utawala wa Rais Samia Suluhu ni tofauti ndio maana unaona mambo yanaendelea kubadilika Democrasia imerejea Tanzania na unachotakiwa kujua serikali ya sasa ni ya wananchi na sio ya chama
Unamuombea msamaha Magu kwa kosa gani?kujenga fly over au kujenga sgr?Salama wandugu,
Mimi mwanaccm na mzalendo wa kudumu wa taifa hili pia ni timu Magu Ila kwa yaliyotokea kwa wapinzani naomba radhi kwa niaba ya JPM.
Hili lilikuwa linachoma moyo sana,
naomba Raisi Samia ashughulikie hili kama anawajali wapinzani au nasema uwongo ndagu zangu.
View attachment 2468083
Askari ana tako sanaSalama wandugu,
Mimi mwanaccm na mzalendo wa kudumu wa taifa hili pia ni timu Magu Ila kwa yaliyotokea kwa wapinzani naomba radhi kwa niaba ya JPM.
Hili lilikuwa linachoma moyo sana,
naomba Raisi Samia ashughulikie hili kama anawajali wapinzani au nasema uwongo ndagu zangu.
View attachment 2468083
YEs demokrasia inarudi na ufisadi ulishatanguliaUtawala wa Rais Samia Suluhu ni tofauti ndio maana unaona mambo yanaendelea kubadilika Democrasia imerejea Tanzania na unachotakiwa kujua serikali ya sasa ni ya wananchi na sio ya chama