jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 26,329
- 25,263
Huu muungano umekaa kinyonyaji zaidi. Sijui katiba mpya itaweza kutupatia mabadiliko kwenye huu muungano feki?Ukienda Zanzibar leo hii huwezi miliki ardhi. Lakini ukienda sehemu nyingine yoyote tz bara unaweza kumiliki ardhi
Wao Tanzania ni nchi yao na vilevile Zanzibar ni nchi yao. Sisi Tanzania bara ndo nchi yetu kule kwao Zanzibar sisi kama wageni tu.