Mimi ni Photographer, Videographer, Graphics Designer na Content Creater. Naomba connection ya kazi wakuu

Mimi ni Photographer, Videographer, Graphics Designer na Content Creater. Naomba connection ya kazi wakuu

Habari zenu wakuu..

Embu tusaidiane kupeana connection.
Mm nipo dar mbagala..
Na ujuzi wa videographer, photographer graphics designer na content creater.
Na uzoefu wa Zaid ya miaka 5.
Km Kuna taasisi kampuni au ofisi ya video production inahitaji mtu wa ujuzi huo nipo hapa..
Program nnazotumia ni
Adobe premiere
Adobe Photoshop
Adobe illustrator
Adobe audition
Adobe Lightroom
Power point

Sina elimu ya vyeti Nina ujuzi tu 😭
Skumaliza chuo hivyo Sina cheti 😔..
Kwa mawasiliano zaid 0692477610.
Nikutumie Kaz nilizo fanya.

Pia na weza kuendesha social media accounts.
Na skuiz kampuni zinajitangaza sana kupitia social media accounts sasa kwa maana hiyo social media accounts ni sehem ya marketing hivyo inatakiwa mpate mtu wa content creating. Pia apge picha nzur na video Kali..
Na huyo mtu sasa ndo Mimi.
Nitakucheck . We can work some things pamoja .
 
freelancing ndio habari ya mjini mkuu graphics designer hamilikiwi kizembe anakodiwa tu
Umeniwahi, ushauri mdogo tu kwa mleta uzi, Dunia ya sasa inamilikiwa na mitandao, masuala ya graphics design, contents creation etc it's a big deal now, sijui hata kwanini unalilia kuajiliwa, kama una Simu nzuri itakayokuwezesha kupiga picha na kuchukua matukio, PC/computer yako ya kisasa ni mtaji tosha, anza kujiuliza unataka kuspecialize kwenye Nini? Contents zipi? Then anza mdogo mdogo kutengeneza maudhui na kuyachapisha mitandaoni (YouTube, Instagram, TikTok etc) kama contents zako ni nzuri utaonekana tu, kuwa mvumilivu, gigs zitakuja tu huko mbeleni.
 
Habari zenu wakuu..

Embu tusaidiane kupeana connection.

Mm nipo dar mbagala.

Na ujuzi wa videographer, photographer graphics designer na content creater.

Na uzoefu wa Zaid ya miaka 5.

Km Kuna taasisi kampuni au ofisi ya video production inahitaji mtu wa ujuzi huo nipo hapa.

Program nnazotumia ni
Adobe premiere
Adobe Photoshop
Adobe illustrator
Adobe audition
Adobe Lightroom
Power point

Sina elimu ya vyeti Nina ujuzi tu 😭
Skumaliza chuo hivyo Sina cheti 😔..
Kwa mawasiliano zaid 0692477610.
Nikutumie Kaz nilizo fanya.

Pia na weza kuendesha social media accounts. Na skuiz kampuni zinajitangaza sana kupitia social media accounts sasa kwa maana hiyo social media accounts ni sehem ya marketing hivyo inatakiwa mpate mtu wa content creating. Pia apge picha nzur na video Kali.

Na huyo mtu sasa ndo Mimi.
Ni content gan hasa uliwah kuiunda ikaenda viral? Au ndo zile za kukata mauno katikati ya barabara na mataulo huku mkisababisha foleni mijini?
 
Sina elimu ya vyeti Nina ujuzi tu 😭
Skumaliza chuo hivyo Sina cheti 😔..
Kwa mawasiliano zaid 0692477610.
Nikutumie Kaz nilizo fanya.
Ni nadra sana kumpata mtanzania muwazi kiasi hiki, nimejifunza jambo kwako
 
Umeniwahi, ushauri mdogo tu kwa mleta uzi, Dunia ya sasa inamilikiwa na mitandao, masuala ya graphics design, contents creation etc it's a big deal now, sijui hata kwanini unalilia kuajiliwa, kama una Simu nzuri itakayokuwezesha kupiga picha na kuchukua matukio, PC/computer yako ya kisasa ni mtaji tosha, anza kujiuliza unataka kuspecialize kwenye Nini? Contents zipi? Then anza mdogo mdogo kutengeneza maudhui na kuyachapisha mitandaoni (YouTube, Instagram, TikTok etc) kama contents zako ni nzuri utaonekana tu, kuwa mvumilivu, gigs zitakuja tu huko mbeleni.
Hapo kwnye mtaji mkuu.. ndo kiini chenyewe na ndo tunapokwama..
Nishaandaa content za filamu sana na kuuza azam tv na DStv ila sasahv huko kote kumebanwa hawapokei Kaz km mwanzo..
Nime
Inapendeza, nitakutafuta...

Cc: Mahondaw
Sawa mkuu 🙏🙏🙏
 
Habari zenu wakuu..

Embu tusaidiane kupeana connection.

Mm nipo dar mbagala.

Na ujuzi wa videographer, photographer graphics designer na content creater.

Na uzoefu wa Zaid ya miaka 5.

Km Kuna taasisi kampuni au ofisi ya video production inahitaji mtu wa ujuzi huo nipo hapa.

Program nnazotumia ni
Adobe premiere
Adobe Photoshop
Adobe illustrator
Adobe audition
Adobe Lightroom
Power point

Sina elimu ya vyeti Nina ujuzi tu 😭
Skumaliza chuo hivyo Sina cheti 😔..
Kwa mawasiliano zaid 0692477610.
Nikutumie Kaz nilizo fanya.

Pia na weza kuendesha social media accounts. Na skuiz kampuni zinajitangaza sana kupitia social media accounts sasa kwa maana hiyo social media accounts ni sehem ya marketing hivyo inatakiwa mpate mtu wa content creating. Pia apge picha nzur na video Kali.

Na huyo mtu sasa ndo Mimi.
Nimependa ulivyojieleza...

Kuna mitoto ina digrii za michongo haifikii nusu ya ujielezaji wako...

Mungu wa mbinguni atasikiliza hitaji lako na amini nakuambia utafanikiwa muda si mrefu.

Usikate tamaa endelea kuwa mwaminifu na mwenye imani.....

Nasikitika siko kwenye nafasi ya kukusaidia, maana hakika ningefanya fasta....
 
Ni content gan hasa uliwah kuiunda ikaenda viral? Au ndo zile za kukata mauno katikati ya barabara na mataulo huku mkisababisha foleni mijini?
🤣 Kwenda viral inategemea na level ya mtu. Kwa mm mtoto wa mbagala mkitengeneza video clip ikawa na viewers 10k kwangu ni imeenda viral.. ila kwa level za mwingne 10k viewer's anaona badooo kabisaaaaa
 
Nimependa ulivyojieleza...

Kuna mitoto ina digrii za michongo haifikii nusu ya ujielezaji wako...

Mungu wa mbinguni atasikiliza hitaji lako na amini nakuambia utafanikiwa muda si mrefu.

Usikate tamaa endelea kuwa mwaminifu na mwenye imani.....

Nasikitika siko kwenye nafasi ya kukusaidia, maana hakika ningefanya fasta....
🙏🙏 Shukran sana kwa kunitia moyo..
Ila sitokataa tamaa ntaendelea kupambana kwa uaminifu mkubwa..
 
Back
Top Bottom