Mimi ni Photographer, Videographer, Graphics Designer na Content Creater. Naomba connection ya kazi wakuu

Nitakucheck . We can work some things pamoja .
 
freelancing ndio habari ya mjini mkuu graphics designer hamilikiwi kizembe anakodiwa tu
Umeniwahi, ushauri mdogo tu kwa mleta uzi, Dunia ya sasa inamilikiwa na mitandao, masuala ya graphics design, contents creation etc it's a big deal now, sijui hata kwanini unalilia kuajiliwa, kama una Simu nzuri itakayokuwezesha kupiga picha na kuchukua matukio, PC/computer yako ya kisasa ni mtaji tosha, anza kujiuliza unataka kuspecialize kwenye Nini? Contents zipi? Then anza mdogo mdogo kutengeneza maudhui na kuyachapisha mitandaoni (YouTube, Instagram, TikTok etc) kama contents zako ni nzuri utaonekana tu, kuwa mvumilivu, gigs zitakuja tu huko mbeleni.
 
Ni content gan hasa uliwah kuiunda ikaenda viral? Au ndo zile za kukata mauno katikati ya barabara na mataulo huku mkisababisha foleni mijini?
 
Sina elimu ya vyeti Nina ujuzi tu 😭
Skumaliza chuo hivyo Sina cheti πŸ˜”..
Kwa mawasiliano zaid 0692477610.
Nikutumie Kaz nilizo fanya.
Ni nadra sana kumpata mtanzania muwazi kiasi hiki, nimejifunza jambo kwako
 
Hapo kwnye mtaji mkuu.. ndo kiini chenyewe na ndo tunapokwama..
Nishaandaa content za filamu sana na kuuza azam tv na DStv ila sasahv huko kote kumebanwa hawapokei Kaz km mwanzo..
Nime
Inapendeza, nitakutafuta...


Cc: Mahondaw
Sawa mkuu πŸ™πŸ™πŸ™
 
Nimependa ulivyojieleza...

Kuna mitoto ina digrii za michongo haifikii nusu ya ujielezaji wako...

Mungu wa mbinguni atasikiliza hitaji lako na amini nakuambia utafanikiwa muda si mrefu.

Usikate tamaa endelea kuwa mwaminifu na mwenye imani.....

Nasikitika siko kwenye nafasi ya kukusaidia, maana hakika ningefanya fasta....
 
Ni content gan hasa uliwah kuiunda ikaenda viral? Au ndo zile za kukata mauno katikati ya barabara na mataulo huku mkisababisha foleni mijini?
🀣 Kwenda viral inategemea na level ya mtu. Kwa mm mtoto wa mbagala mkitengeneza video clip ikawa na viewers 10k kwangu ni imeenda viral.. ila kwa level za mwingne 10k viewer's anaona badooo kabisaaaaa
 
πŸ™πŸ™ Shukran sana kwa kunitia moyo..
Ila sitokataa tamaa ntaendelea kupambana kwa uaminifu mkubwa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…