Mimi ni rough, nywele rough na sijali wala kuhonga na wanawake wananikubali sana. Kwa nini?

Mimi ni rough, nywele rough na sijali wala kuhonga na wanawake wananikubali sana. Kwa nini?

Jana Ulirudi Usiku

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
2,360
Reaction score
2,269
Habari wanaJF.

Niende kwenye mada, kumekuwa na misemo humu kuwa wanawake wanapenda mwanaume smart, mcheshi na mtundu na sifa kede kede.

Kwangu mimi ni tofauti kabisa, kwanza sina ucheshi(kutabasamu, kucheka wala kuongea ni kwa nadra sana).

Pili mimi sio smart kimavazi. Sio smart kabisa. Ila ninachohakikisha ni kuwa mavazi yangu sio machafu na hayanuki. Kupiga pasi pia na mimi ni paka na panya. Yaani ni rough mno kiujumla hasa kimavazi.

Pia mimi sipo romantic na sipendi kuzoeana sana na wanawake japo wao wanataka sana kunizoea.

Nina sura kavu kidogo yenye tabasamu adimu mno, sipendi stori na wasichana na sipendi utani nao.

Ajabu ni hii[emoji116][emoji116]

Wananikubali sana, huwa sihongi ila nimewala wengi mno tena warembo hasa. Na wengi wanajipendekeza sana kwangu, wengine wake za watu wengine masista duu..

Sasa najishangaa wanapenda nini? Nikisoma kwenye vitu ambavyo huvutiwa navyo mimi sina hata kimoja, japo sio mfupi ni mrefu kiasi.

Kwa kweli najishangaa mno, nimewakataa wengi sana na wengi bado wananikubali.

Nimewahi kupata convos zao kwa msg wakiniongelea. Aisee wamenisifia na kunipamba mpaka naona aibu sasa wakati mimi niko very normal.

Jamani hapa shida nini? Siifurahii hii hali.

Karibuni.!
 
Wanawake wa aina gan hao ?
Aina kivipi? Labda nieleze tu kuifupi. Sio wale wa kiswahili(wa uswazi hope unaweza elewa hapa), wala malaya waojiuza. Ila asilimia kubwa ni mabinti tu wenye hadhi zao, smart, wealthier na wasafi. Ila ajabu ni kuwa mimi nawaona wa kawaida tu so hawaniendeshi na sioni kama wao kujigonga kwangu ni zali. Najiamini pia!

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom