Mimi ni rough, nywele rough na sijali wala kuhonga na wanawake wananikubali sana. Kwa nini?

Mimi ni rough, nywele rough na sijali wala kuhonga na wanawake wananikubali sana. Kwa nini?

Nyota baba
Hii comment imekaa kichokozi mno[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti "nyota baba"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
 
Habari wanaJF.

Niende kwenye mada, kumekuwa na misemo humu kuwa wanawake wanapenda mwanaume smart, mcheshi na mtundu na sifa kede kede.

Kwangu mimi ni tofauti kabisa, kwanza sina ucheshi(kutabasamu, kucheka wala kuongea ni kwa nadra sana).

Pili mimi sio smart kimavazi. Sio smart kabisa. Ila ninachohakikisha ni kuwa mavazi yangu sio machafu na hayanuki. Kupiga pasi pia na mimi ni paka na panya. Yaani ni rough mno kiujumla hasa kimavazi.

Pia mimi sipo romantic na sipendi kuzoeana sana na wanawake japo wao wanataka sana kunizoea.

Nina sura kavu kidogo yenye tabasamu adimu mno, sipendi stori na wasichana na sipendi utani nao.

Ajabu ni hii[emoji116][emoji116]

Wananikubali sana, huwa sihongi ila nimewala wengi mno tena warembo hasa. Na wengi wanajipendekeza sana kwangu, wengine wake za watu wengine masista duu..

Sasa najishangaa wanapenda nini? Nikisoma kwenye vitu ambavyo huvutiwa navyo mimi sina hata kimoja, japo sio mfupi ni mrefu kiasi.

Kwa kweli najishangaa mno, nimewakataa wengi sana na wengi bado wananikubali.

Nimewahi kupata convos zao kwa msg wakiniongelea. Aisee wamenisifia na kunipamba mpaka naona aibu sasa wakati mimi niko very normal.

Jamani hapa shida nini? Siifurahii hii hali.

Karibuni.!

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
Royal tour oyee
 
Mkuu huo ukauzu kutopenda kupiga story na wanawake ovyo. Na upole kiasi na kujiamini ndicho kitu wanachokuelewa na kuna ile hali ya mtu kujiweka kiume zaidi hivyo wanakuona upo real gentleman.

Pia ukiwa na baya watakukataa wote maana wanaambiana hao. Na ndio maana kama unawapiga show nzuri wanaambiana na wakisha ambiana na kutafuta kimasihara🤣🤣🤣
 
Mkuu huo ukauzu kutopenda kupiga story na wanawake ovyo. Na upole kiasi na kujiamini ndicho kitu wanachokuelewa na kuna ile hali ya mtu kujiweka kiume zaidi hivyo wanakuona upo real gentleman.

Pia ukiwa na baya watakukataa wote maana wanaambiana hao. Na ndio maana kama unawapiga show nzuri wanaambiana na wakisha ambiana na kutafuta kimasihara[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23] "...na upole kidogo...". Upole upi hiyo kidogo[emoji23][emoji23][emoji23] fafanua
 
Back
Top Bottom