Mimi ni rough, nywele rough na sijali wala kuhonga na wanawake wananikubali sana. Kwa nini?

Lazima wakukubali maana na wao wana akili hizo hizo kama zako.
Shida ni mpaka warembo mabinti wa wakubwa. Mfano ni binti wa DED wa wilaya fulani huko kaskazini. Unataka kusema hawa nao wapo kama mimi?

Kifupi ni wasafi tofauti na mimi, thats why wakati mwingine huwa nacheka sana... I wonder wanavutiwa na kipi[emoji23]

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
 
Hahahah kunuka jasho kwa mwanaume ni kawaida na ndiyo uanaume. Nanuka kiasi chake kwa sababu sina kawaida ya kutumia deodorant. I wonder wananipendea nini[emoji23]

I think ni ke mpumbavu pekee atakayemkataa me kisa ananuka kikwapa. Huyo ni ke mshamba tu!

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
Huwezi mkataa Kama unampenda coz kikwapa kinatibika,usiendekeze kunuka kwapa kisa mwanamme,kwani unashindana na beberu?
 
Hiyo chai mkuu,

Kipepeo hufata maua mazuri yanayonukia.
Huwezi kumkuta kwenye majani makavu.
Na ndio maana nikasema nastaajabu hili. Mimi najiona niko normal sana, pia nipo so serious. Dada zangu huniambia sifa nyingi mademu wanazonimwagia naishiaga kucheka tu[emoji23][emoji23] kuni face mwenyewe wanaogopa.

Pia mwanamke sio kipepeo mkuu[emoji23][emoji23][emoji23] sijui wanavutiwa na sura au nini

Kweli naona ajabu hii mpaka nimeleta uzi[emoji23]

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
 
Na ndio maana nikasema nastaajabu hili. Mimi najiona niko normal sana, pia nipo so serious. Dada zangu huniambia sifa nyingi mademu wanazonimwagia naishiaga kucheka tu[emoji23][emoji23] kuni face mwenyewe wanaogopa.

Pia mwanamke sio kipepeo mkuu[emoji23][emoji23][emoji23] sijui wanavutiwa na sura au nini

Kweli naona ajabu hii mpaka nimeleta uzi[emoji23]

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
Mwanamke ni kama kipepeo,hawezi kuja kwako bila sababu.
Either money ,
utanashati,
or something else special.

Mwanamke hawezi kumpenda mwanaume rough ,
asiyejipenda na hana pesa.

Money brings a woman and a woman brings love.
 
So wewe unafikiri ni kipi kinawavutia kwa kapuku kama mimi? Kitaje nikijue. Mimi sijui wanavutiwa na kipi kiasi cha kunisifia sifa kede kede kupitia sister, achilia mbali shobo kwa sana.

Nilisahau, ila sina kipili pili[emoji23]

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
 
Rough hair kama hii mkuu?? Mana hiyo imekaa kiswaga, tupiamo kapicha ka example basi

curly-hairstyles-men-111.jpg
 
Rough hair kama hii mkuu?? Mana hiyo imekaa kiswaga, tupiamo kapicha ka example basi

View attachment 2204632
[emoji23][emoji23] sio hiyo, sinyoagi fashion yoyote ile. Napenda kuwa na nywele fupi ila huwa nazichana vizuri(kama Malisa GJ tu). Nikiwa na ndefu(kwa nadra sana hufuga nywele) basi huziacha rough tu japo huzisafisha.

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
 
Mwanamke ni kama kipepeo,hawezi kuja kwako bila sababu.
Either money ,
utanashati,
or something else special.

Mwanamke hawezi kumpenda mwanaume rough ,
asiyejipenda na hana pesa.

Money brings a woman and a woman brings love.
"Money brings love..."[emoji118][emoji118] kwa kauli yako hii mbons uliachwa kwa dharau na hela zako mkuu? Akawa anahongwa chalii [emoji23][emoji23]

Money brings FAKE love.[emoji23][emoji23]

Back
Top Bottom