Mimi ni rough, nywele rough na sijali wala kuhonga na wanawake wananikubali sana. Kwa nini?

Mimi ni rough, nywele rough na sijali wala kuhonga na wanawake wananikubali sana. Kwa nini?

nyota, tabia, vision zako nk
wanawake wanapenda wanachosikia kuzidi wanachokiona , ndio maana hata ukigombana nae ataanza kusema uliniahidi hiki, ulisema hivi au vile japo matendo yako yalikuwa clear kuanzia mwanzo kuwa humuhitaji kwahiyo huenda una maneno mazuri, machache lakini mazuri.
Pia kuna wanawake ambao wao wanapenda challenges especially good girls, huamini wewe ni assignment aliyopewa na Mungu kukubadilisha, hawa unakuta anapigwa, anatukanwa hakomi yupo.
Wengine u serious wako na kuwa rough kwako anaamini hauna mambo mengi, na wanawake wengi hawatovutiwa na wewe kwahiyo anakua na imani utakuwa wa kwake peke yake bila kujua wapo wanawake wengine wenye mtazamo kama wa kwake.
Umechambua vyema mno. Huenda ikawa kweli. Siweki kipaumbele(budget) ya mavazi ili niwake.

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
 
Umechambua vyema mno. Huenda ikawa kweli. Siweki kipaumbele(budget) ya mavazi ili niwake.

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
wanawake wanatofautiana, kuna mwanamke anauwezo wakuona uzuri wako, na mambo makubwa ambayo unatakiwa au utakuja kuyapata kabla hata wewe hujayawaza.
Kuna mwanamke akikupenda atakubadilisha mpaka ukashangaa, nguo akakununulia, akakupasia, akakufulia, akakupiga taf mtaji katika biashara etc
 
"Money brings love..."[emoji118][emoji118] kwa kauli yako hii mbons uliachwa kwa dharau na hela zako mkuu? Akawa anahongwa chalii [emoji23][emoji23]

Money brings FAKE love.[emoji23][emoji23]

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
Niliachwa sababu ya long distance relationship.

Ktk mapnz hakuna mbabe wa long distance relationship..
 
wanawake wanatofautiana, kuna mwanamke anauwezo wakuona uzuri wako, na mambo makubwa ambayo unatakiwa au utakuja kuyapata kabla hata wewe hujayawaza.
Kuna mwanamke akikupenda atakubadilisha mpaka ukashangaa, nguo akakununulia, akakupasia, akakufulia, akakupiga taf mtaji katika biashara etc
Ni sawa kabisa ndugu. Ila katika uchafu mimi sio mchafu ila tu niko rough! Pia ni mechanism gani wanatumia wanawake kukuona wewe wa kesho??

Hapo naona ni mtambuka kidogo kaka!

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
 
Niliachwa sababu ya long distance relationship.

Ktk mapnz hakuna mbabe wa long distance relationship..
Hahaha hata kama! Wewe huyo alishakuacha tangu zamani sana. Hapo alihitimisha tu. Ni kama mtu ambaye ini limefeli na hajijui, anakuwa ni walking dead ambaye muda wowote atadondoka na kufa.

So hukupendwa ilipendwa pochi yako. Na alikuwa mjanja sana huyo manzi na ukizingatia alishagundua ulikuwa lofa kwake[emoji23][emoji23][emoji23]

So suala sio umbali mrefu. Wangapi tuna date/wana date na ke umbali mrefu na hawaachwi?

Tena wewe mlishaonana kabisa live na akaenda kusoma, tena ndani ya TZ na ada unamlipia, je, wale wanaoenda abroad?

Case ya umbali ina apply kwa watu ambao wamekutana mtandaoni na hawajawahi onana live wala kuishi pamoja, na wanatoka sehemu tofauti.

Issue yako wewe refer shairi la To you dada, au You are lost utaelewa(kama ulikwenda shule lakini).

Nawasilisha!

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom