Mimi ni rough, nywele rough na sijali wala kuhonga na wanawake wananikubali sana. Kwa nini?

Mimi ni rough, nywele rough na sijali wala kuhonga na wanawake wananikubali sana. Kwa nini?

Namjibia[emoji116][emoji116]

"Hujaelewa uzi. Mimi ni rough ila si mchafu. Hujui tofauti ya rough na mchafu. Nguo zangu ni safi anytime though sipangilii a k a kutupia. Nywele ni safi japo naziacha ga idle, na sio kipili pili. Hope umeelewa sasa, au ulikimbia umande?!"[emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]soma kwa makini na hisia[emoji2955]
 
Wanakutumia tu..hujawahi ona demu chizi ana mimba.?[emoji2957]
 
utakuwa na hogo mkuu kwa iyo wanalimezea mate hapo mbele kwenye zipu kumenona
 
Darasani ulikuwa unafanya vizuri?
yani wewe ni mmoja wa wale tunaita vipanga?
Shida ni sio wanawake wengi wanavutiwa na wanaume wenye vichwa.
as huwa wanaongea vitu vigumu vigumu halafu kwa wanwake wengi hayavutii.
Things like uchambuzi wa siasa, vita, mpira, uchumi, elimu, mapenzi ila ya kigumu gumu ila very deep.
 
Back
Top Bottom