Mimi ni rough, nywele rough na sijali wala kuhonga na wanawake wananikubali sana. Kwa nini?

Mimi ni rough, nywele rough na sijali wala kuhonga na wanawake wananikubali sana. Kwa nini?

Huku guest zipo hadi za jero mkuu..... Kwa hyo hyo buku tano.... Jero guest, buku nauli yangu, soda buku.... Buku 2 unanipa Kodi ya meza.... Jero nauli yako
Nije cku gan? Na je nije na swaga gan ili unitunuku tunda kiulain ??
 
Huku guest zipo hadi za jero mkuu..... Kwa hyo hyo buku tano.... Jero guest, buku nauli yangu, soda buku.... Buku 2 unanipa Kodi ya meza.... Jero nauli yako
Njoo in box tuyamalize bhana,acha uoga
 
Nije cku gan? Na je nije na swaga gan ili unitunuku tunda kiulain ??
Aah kumbe unataka kutunukiwa tunda..... Kuna apple, chungwa, nanasi, avocado na mapera..... We utahitaji kutunukiwa tunda lipi
 
Utakuwa una six pack na unakula mzigo vizuri wanakupenda kama sex machine sio mpenzi
 
Habari wanaJF.

Niende kwenye mada, kumekuwa na misemo humu kuwa wanawake wanapenda mwanaume smart, mcheshi na mtundu na sifa kede kede.

Kwangu mimi ni tofauti kabisa, kwanza sina ucheshi(kutabasamu, kucheka wala kuongea ni kwa nadra sana).

Pili mimi sio smart kimavazi. Sio smart kabisa. Ila ninachohakikisha ni kuwa mavazi yangu sio machafu na hayanuki. Kupiga pasi pia na mimi ni paka na panya. Yaani ni rough mno kiujumla hasa kimavazi.

Pia mimi sipo romantic na sipendi kuzoeana sana na wanawake japo wao wanataka sana kunizoea.

Nina sura kavu kidogo yenye tabasamu adimu mno, sipendi stori na wasichana na sipendi utani nao.

Ajabu ni hii[emoji116][emoji116]

Wananikubali sana, huwa sihongi ila nimewala wengi mno tena warembo hasa. Na wengi wanajipendekeza sana kwangu, wengine wake za watu wengine masista duu..

Sasa najishangaa wanapenda nini? Nikisoma kwenye vitu ambavyo huvutiwa navyo mimi sina hata kimoja, japo sio mfupi ni mrefu kiasi.

Kwa kweli najishangaa mno, nimewakataa wengi sana na wengi bado wananikubali.

Nimewahi kupata convos zao kwa msg wakiniongelea. Aisee wamenisifia na kunipamba mpaka naona aibu sasa wakati mimi niko very normal.

Jamani hapa shida nini? Siifurahii hii hali.

Karibuni.!

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
Wanakupenda kwa sababu uko rough na unanuka. Wanawake ni viumbe vya kushangaza mkuu, utakuta anakupenda tu kwa kuwa ni lofa au fukara wa maisha. Atajitahidi uwe wake ili akubadilishe kisha akajisifie kwa wenzake kuwa kama si yeye usingekuwa hivyo. Kwa hiyo usishangae kupendwa nao, sema tu bahati imeangukia kwako.
 
Back
Top Bottom