Mimi ni rough, nywele rough na sijali wala kuhonga na wanawake wananikubali sana. Kwa nini?

Mimi ni rough, nywele rough na sijali wala kuhonga na wanawake wananikubali sana. Kwa nini?

Mkuu kuna kuwa kawaida tu na kuwa mtanashati wewe unazungumzia

Kuoga kila siku
No, naongelea u smart wa kimavazi(kupangilia na kupiga pasi inapohitajika, kuvaa kuendana na usasa n.k), mimi ni tofauti kabisa na mambo hayo. Nguo zangu sinyooshagi, navaa and i dont care. Kifupi navaa sijui niite kishamba au nini?[emoji23][emoji23] ila ndio hivyo najiamini na sijali.

Mpaka hapo umepata picha ni mtu wa aina gani.
 
KADI YA MWALIKO

Ndio ninachokiona kwenye huu uzi... endelea Mkuu kuwachakata..

Bila Farasi kidume hauwezi kuitwa Apollo - FidQ
 
Huenda, ila sijawahi toka na demu wa hapo karibu. Hili ni hata kwa demu tusiyejuana, mara nyingi huvutiwa mno na mimi, ila many times nakuwa sina time nao.

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
Sasa Kama hujawahi toka na demu wa hapo karibu? ulionaje hizo chat zao...wamejuana vipi Hadi wakuongelee?
 
Kwa hizo sifa ulizozitaja hapo juu no wonder wanakupenda as long as hunuki kikwapa sifa zote Ni njema kabisa..
 
Haijalishi kama ni chai au la! Ila mtu hunena kilichopo moyoni mwake. NB; Kazana unachokitafta soon utakipata; Wake zawatu marinda yatasepa. Masisita duu unakarbia kuunganishwa na grid ya taifa. Nao waendelee kukusifia tu.
 
Kwa hizo sifa ulizozitaja hapo juu no wonder wanakupenda as long as hunuki kikwapa sifa zote Ni njema kabisa..
Hahahah kunuka jasho kwa mwanaume ni kawaida na ndiyo uanaume. Nanuka kiasi chake kwa sababu sina kawaida ya kutumia deodorant. I wonder wananipendea nini[emoji23]

I think ni ke mpumbavu pekee atakayemkataa me kisa ananuka kikwapa. Huyo ni ke mshamba tu!

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
 
Haijalishi kama ni chai au la! Ila mtu hunena kilichopo moyoni mwake. NB; Kazana unachokitafta soon utakipata; Wake zawatu marinda yatasepa. Masisita duu unakarbia kuunganishwa na grid ya taifa. Nao waendelee kukusifia tu.
Mimi ninajiheshimu na naheshimu MNO wake za watu. Tena saaana. Sijawahi na naomba nisiwahi kutoka na hata mke mmoja wa mtu. Nina hekima na busara, ndivyo nilivyolelewa kwa kweli! Kwangu utu daima na kiburi ni mwiko!

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom