Mimi ni rough, nywele rough na sijali wala kuhonga na wanawake wananikubali sana. Kwa nini?


Unaonekana wewe ni rough road
 
We ni mchafu au ni fala una kizizi cha babu yako wa kwamsisi
 
Soma ulichoandika, una elimu gani? Mbona hueleweki?
 
Watu wa hv wanajua kupelekea moto jaman hadi raha, sio kama wale walamba midomo yaani wanaboaa vidude vyenyewe havisimami vzr yaan tafulani tupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…