Mimi ni rough, nywele rough na sijali wala kuhonga na wanawake wananikubali sana. Kwa nini?

Habari wanaJF.

Niende kwenye mada, kumekuwa na misemo humu kuwa wanawake wanapenda mwanaume smart, mcheshi na mtundu na sifa kede kede.

Kwangu mimi ni tofauti kabisa, kwanza sina ucheshi(kutabasamu, kucheka wala kuongea ni kwa nadra sana).

Pili mimi sio smart kimavazi. Sio smart kabisa. Ila ninachohakikisha ni kuwa mavazi yangu sio machafu na hayanuki. Kupiga pasi pia na mimi ni paka na panya. Yaani ni rough mno kiujumla hasa kimavazi.

Pia mimi sipo romantic na sipendi kuzoeana sana na wanawake japo wao wanataka sana kunizoea.

Nina sura kavu kidogo yenye tabasamu adimu mno, sipendi stori na wasichana na sipendi utani nao.

Ajabu ni hii[emoji116][emoji116]

Wananikubali sana, huwa sihongi ila nimewala wengi mno tena warembo hasa. Na wengi wanajipendekeza sana kwangu, wengine wake za watu wengine masista duu..

Sasa najishangaa wanapenda nini? Nikisoma kwenye vitu ambavyo huvutiwa navyo mimi sina hata kimoja, japo sio mfupi ni mrefu kiasi.

Kwa kweli najishangaa mno, nimewakataa wengi sana na wengi bado wananikubali.

Nimewahi kupata convos zao kwa msg wakiniongelea. Aisee wamenisifia na kunipamba mpaka naona aibu sasa wakati mimi niko very normal.

Jamani hapa shida nini? Siifurahii hii hali.

Karibuni.!

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app

Unaonekana wewe ni rough road
 
Pole sana hii sikuiona mim ni miss Mwanza
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png

Pole sana hii sikuiona mim ni miss Mwanza [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kipenz Mambo??
 
Darasani ulikuwa unafanya vizuri?
yani wewe ni mmoja wa wale tunaita vipanga?
Shida ni sio wanawake wengi wanavutiwa na wanaume wenye vichwa.
as huwa wanaongea vitu vigumu vigumu halafu kwa wanwake wengi hayavutii.
Things like uchambuzi wa siasa, vita, mpira, uchumi, elimu, mapenzi ila ya kigumu gumu ila very deep.
Soma ulichoandika, una elimu gani? Mbona hueleweki?
 
Habari wanaJF.

Niende kwenye mada, kumekuwa na misemo humu kuwa wanawake wanapenda mwanaume smart, mcheshi na mtundu na sifa kede kede.

Kwangu mimi ni tofauti kabisa, kwanza sina ucheshi(kutabasamu, kucheka wala kuongea ni kwa nadra sana).

Pili mimi sio smart kimavazi. Sio smart kabisa. Ila ninachohakikisha ni kuwa mavazi yangu sio machafu na hayanuki. Kupiga pasi pia na mimi ni paka na panya. Yaani ni rough mno kiujumla hasa kimavazi.

Pia mimi sipo romantic na sipendi kuzoeana sana na wanawake japo wao wanataka sana kunizoea.

Nina sura kavu kidogo yenye tabasamu adimu mno, sipendi stori na wasichana na sipendi utani nao.

Ajabu ni hii[emoji116][emoji116]

Wananikubali sana, huwa sihongi ila nimewala wengi mno tena warembo hasa. Na wengi wanajipendekeza sana kwangu, wengine wake za watu wengine masista duu..

Sasa najishangaa wanapenda nini? Nikisoma kwenye vitu ambavyo huvutiwa navyo mimi sina hata kimoja, japo sio mfupi ni mrefu kiasi.

Kwa kweli najishangaa mno, nimewakataa wengi sana na wengi bado wananikubali.

Nimewahi kupata convos zao kwa msg wakiniongelea. Aisee wamenisifia na kunipamba mpaka naona aibu sasa wakati mimi niko very normal.

Jamani hapa shida nini? Siifurahii hii hali.

Karibuni.!
Watu wa hv wanajua kupelekea moto jaman hadi raha, sio kama wale walamba midomo yaani wanaboaa vidude vyenyewe havisimami vzr yaan tafulani tupu
 
Back
Top Bottom