Uchaguzi 2020 Mimi ni team Magufuli ila nimemkubali Lissu ana uthubutu anafaa kuwa kiongozi!

Unajua Kwanini lissu anapendwa na Mabeberu ?
Unajua kawaahidi nini?

Wacha niishie hapa
Lissu na Magufuli nani anapendwa na mabeberu?

Tumesaini nao mikataba mbele ya rais wetu mpendwa,naachaje kuamini ni kipenzi cha mabeberu.

Rais hadi akawaita mabeberu ni wanaume..wewe Bia yetu ni tetea tu.
 
Watanzania hawawezi kupigia kura msaliti wa Nchi kutoka ubeligiji
Pia Tanzania hatutaki ushoga,
Lissu na Magufuli nani anapendwa na mabeberu?

Tumesaini nao mikataba mbele ya rais wetu mpendwa,naachaje kuamini ni kipenzi cha mabeberu.

Rais hadi akawaita mabeberu ni wanaume..wewe Bia yetu ni tetea tu.
 
Lissu ni mchumia tumbo tu hana lolote

Muulizeni alipata wapi pesa za kujenga kigorofa chake pale tegeta
Swali la kipuuzi kabisa kuliko yote uliyopata kuhoji Mkuu. Nilidhani utauliza alipata wapi pesa za kununua mgodi wa Mchuchuma au kiwanda cha sukari Mtibwa... kighorofa ambacho hata madiwani wanajenga kwa posho zao??
 
Muulizeni vizuri alipata wapi pesa
Swali la kipuuzi kabisa kuliko yote uliyopata kuhoji Mkuu. Nilidhani utauliza alipata wapi pesa za kununua mgodi wa Mchuchuma au kiwanda cha sukari Mtibwa... kighorofa ambacho hata madiwani wanajenga kwa posho zao??
 
Asante sana kwa kusema ukweli toka moyoni mwako. Bado una mda kura yako kwa Lissu haitoshi, hamasisha watu wengi zaidi ndugu, jamaa na marafiki wakampigie kura kwa wingi kesho na tukazilinde kweli.
 
Umebaki tu sio mtu kawaida sione uliloeleza linalompa hizo sifa unazompa nadhani ww ni kampeni meneja wake tu sasa kwa taarifa yako huyo jamaa yako hana sifa hata moja ya kuwa rais wa nchi kama Tz, nchi haiongozwi kwa maneno maneno tu na majungu bali nchi huongozwa na mtu mwenye uthubutu na ubunifu kama JPM alivyo sasa ni Rais asiyejikweza kwa mabeberu ni mbunifu anajiamin anaona mbali anapenda taifa lake na watu wake hana urafiki na mafisadi hapendi watu wa kujikuza kwa wengine anaona watu wote wana haki sawa ya kunufaika na rasilimali za taifa lao nk
 
Tutolee mfano wa jambo moja alilothubutu.
 
Utampa humpi??
 
Lissu hafai kuwa kiongozi. Abaki kwenye uharakati wake.
 
Hata akihama anaweza hama kwa sababu za msingi,hajawahi kuwa mnafiki na ni jasiri kweli kweli Kama Mungu kamuandikia lazima atakuwa maana ana aminika na ni mtetezi wa haki kwa vitendo tofauti na wanasiasa matumbo na wasiojali wengine,wengi wa mijitu ya dizaini hii imejaa ccm simply bcoz hawana akili ya kujenga hoja
 
Hata Mimi namkubali Sana , Ila Kuna vitu vichache vimefanya nimkubali Lissu
 
Tundu Lisuu kibara...dalali wa mabeberu na sera zake za kitapeli,alafu wewe sio Team Maghufuli kawazunguke wajinga na akili yako ndogo
 
Watanzania hawawezi kupigia kura msaliti wa Nchi kutoka ubeligiji
Pia Tanzania hatutaki ushoga,
Hivi Joti na Anti Zuu wanahamasisha ushoga wakiwa makada wa chama gani? Nani ulisikia anawakemea?
 
Lissu ni mchumia tumbo tu hana lolote

Muulizeni alipata wapi pesa za kujenga kigorofa chake pale tegeta
Lisu ni Lawyer maarufu. Hivi unajua alikuwa analipwa Sh ngapi kwa case? Unajua retainer fee yake kwa makampuni na watu binafsi? Unajua pia amekuwa Mbunge? Mhuri wake akikugongea tu karatasi moja ni Sh ngapi. Kakojoe ulale. Tena unye kabisa umalize na kuvimbiwa huko Maharaja ya juzi.
Tumia akili kufikiri siyo makalio.
 
Unadhani Ni mbangaizaji Kama siye? Ni mwanasheria mashuhuri, mkewe pia kweli watashindwa Jenga nyumba waipendayo?
You said it well. Au kwa kuwa wako humble hawajioneshi? Mwanbie kwa Mkewe ni mwanasheria nguli pia but down to earth. Lisu pesa anayolipwa tu kwa mwexmzi kutoka makampuni as reteiner fee ni millions of money. Yaani hao buku 2 Lumumba ni shida sana Mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…