Zogwale
JF-Expert Member
- Jul 10, 2008
- 15,295
- 10,928
Porojo. Lisu ndiyo alitetea mikataba mibovu akaiweka hadharani? Akaikataa sheria mpya ya madini kwa nguvu zote ambayo ilipelekwa bungeni kwa dharura. Akasema haifai na bado ikapitishwa na mibunge ya CCM kwa kishindo. Kwanza ufisadi wa madini aliougundua huyo Mkabila na Mkanda kwenye madini alitumia nondo za Lissu. Acha bangi wewe.Unamzungumzia huyu lisu ambaye anataka kuwakabidhi wazungu madini yetu.