Porojo. Lisu ndiyo alitetea mikataba mibovu akaiweka hadharani? Akaikataa sheria mpya ya madini kwa nguvu zote ambayo ilipelekwa bungeni kwa dharura. Akasema haifai na bado ikapitishwa na mibunge ya CCM kwa kishindo. Kwanza ufisadi wa madini aliougundua huyo Mkabila na Mkanda kwenye madini alitumia nondo za Lissu. Acha bangi wewe.Unamzungumzia huyu lisu ambaye anataka kuwakabidhi wazungu madini yetu.
Uchaguzi huu CCM inakwenda kushinda kwa kishindo kwakua upinzani nidhaifu kuliko wakati wowote tangu kuanzishwa kwa vyama vingi
Madini yapi tena tofauti na yale waliokabidhiwa "wanaume?"Unamzungumzia huyu lisu ambaye anataka kuwakabidhi wazungu madini yetu.
Madini yapi tena tofauti na yale waliokabidhiwa "wanaume?"Unamzungumzia huyu lisu ambaye anataka kuwakabidhi wazungu madini yetu.
Akili yake imekomea alipooneshwa msameheni bure tu.Unadhani Ni mbangaizaji Kama siye? Ni mwanasheria mashuhuri, mkewe pia kweli watashindwa Jenga nyumba waipendayo?
Ameahidi kuweka rehani madini yetu hatuwezi kumchagua huyu...tutaenda na Mzalendo wetu namba moja Magufuli.Unajua Kwanini lissu anapendwa na Mabeberu ?
Unajua kawaahidi nini?
Wacha niishie hapa
CCM haijawahi kushinda zaidi ya kubebwa na Police ,Tume ya uchaguzi na msajili wa vyama, ila safari hii mtajua hamjuiUchaguzi huu CCM inakwenda kushinda kwa kishindo kwakua upinzani nidhaifu kuliko wakati wowote tangu kuanzishwa kwa vyama vingi
Acha uboya weee mama. Ni Serikali ya CCM iliyowazika hai watanzania kule Bulyanhulu ili iwapore maeneo yao na Ni Tundu Lissu a.k.a The Giant a.k.a The Beast aliyepiga kelele mpaka dunia ikasikia. Ni yeye aliyekuwa akiteswa rumande na Serikali dhalimu inayoua watu wake kwa ajili ya maslahi ya mabeberu.Unajua Kwanini lissu anapendwa na Mabeberu ?
Unajua kawaahidi nini?
Wacha niishie hapa
Leta uthibitishoAmeahidi kuweka rehani madini yetu hatuwezi kumchagua huyu...tutaenda na Mzalendo wetu namba moja Magufuli.
Congratulations in advance President Magufuli
JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
mwana kutapatapa nkionaga t comment zako najuaga t hapa akil kxoda🤣🤣Unajua Kwanini lissu anapendwa na Mabeberu ?
Unajua kawaahidi nini?
Wacha niishie hapa