Mimi ni Web developer na Mobile dev nina wazo njoo tu discuss

Mimi ni Web developer na Mobile dev nina wazo njoo tu discuss

Wakuu kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu

kuwa mimi ni web developer kwa miaka takribani 5
ninafahamu PHP, Javascripty,Mysql,CSS,
pia nafahamu laravel na codeignter kwa ufasihi mkubwa pia nafahamu
Kotlin pamoja na Java nafahamu vizuri kabisaa frameworks ya Java spring.

lengo la kuandika huu uzi ni hilii.
1.Nataka mtu ambaye ana ideas ambayo itatuwezesha sisi kupata pesa mimi nita i develop hiyo project bila hata senti moja, ila tuu anihakikihishie baada ya mda flani tutaanza kupata pesa. yeye kazi yake kubwa aweze kuifanyia marketing maaana mimi sio mzuri kwenye kujieleza.
2.Mimi pia nafundisha languages hizo apo juu kwa usahihi na kwa garama nafuu.
karibuni wote ambaye ana Ideas na ambaye anataka kufundishwa.

Namba ya Simu
0746815931

Ni jambo jema na hongera, ila ungesema competence yako au wapi unauzika zaidi, umeeleza kidogo sana kushawishi a potential, ila naamini watu wazuri kwenye hayo unazungumza hufanikiwa sana
 
Na mimi mwenyewe mtamu kwenye hizi mambo moja ya programu zangu katika nyingi
 
Attachments

  • EventTrackingSystem3.jpg
    EventTrackingSystem3.jpg
    19.1 KB · Views: 12
  • EventTrackingSystem2.jpg
    EventTrackingSystem2.jpg
    129.9 KB · Views: 12
  • EventTrackingSystem.jpg
    EventTrackingSystem.jpg
    103.9 KB · Views: 12
Ni jambo jema na hongera, ila ungesema competence yako au wapi unauzika zaidi, umeeleza kidogo sana kushawishi a potential, ila naamini watu wazuri kwenye hayo unazungumza hufanikiwa sana
Nipo compitent na web development and Android ila IOS ndo nasoma hapa react native
 
Mie nimejikita ktk Cyber Security pia nina knowledge kiasi ya kuchapa codes.

Sasa.

Kuna idea moja ya kuunda spyware app ambayo itatumika kufanya udukuzi na pia app yenye persistence kubwa. Ambayo pia itafanya kazi in stealth mode.

Namalizia kuandaa pepa (Manual) kama utakuw interested tutaona nini cha kufanya.
 
hii haina mshiko kaka
 
what is yor price kwa simple app moja

I mean simple app like this....
1. Home screen: User can add/edit/delete expense

2. Contact us page: when they click that, their Gmail app will open and send me an email

3. Handling 1 simple in-app purchase, if user didn't purchase the app, then we show ads
Kwahiyo boss umeshindwa hata kutofautisha mySql na no Sql database.
Idea itaeleweka kweli?!!!
Huyu ni wale IT wa youtube baada ya siku 2 za kuangalia video anajiita na yeye ni IT hapa hamna kitu. Aliambiwa aleta kazi alizo fanya akakimbilia hana github a/c sasa IT gani hatumii github zaidi ya mtu tia maji tia maji
acha ujuaji SQL works with many different database systems, so it's not specific to MySQL, but it's a language to know if you want to use MySQL. SQL is also the default query language used by MySQL, so it's easy to learn how to use MySQL without having to learn another language too.
Nilipo soma tu hii comment nikajua jinga lingine limeingia mjini. Kama unashidwa kutumia akili yako kutoa maelezeo development ndo utaweza
foto_no_exif.jpg
 
Hakuna binadamu mwenye hobby 1 tu

Ungekuwa na hobby nyingine ungeutumia ujuzi wako wa web design kusupplement hobby yako ya pili

Nitajie tarehe na mwezi uliozaliwa nikuambie kazi nyingine ukifanya utatoboa tofauti na website development
02/5
 
Huyu ni wale IT wa youtube baada ya siku 2 za kuangalia video anajiita na yeye ni IT hapa hamna kitu. Aliambiwa aleta kazi alizo fanya akakimbilia hana github a/c sasa IT gani hatumii github zaidi ya mtu tia maji tia maji

Nilipo soma tu hii comment nikajua jinga lingine limeingia mjini. Kama unashidwa kutumia akili yako kutoa maelezeo development ndo utaweza View attachment 2803702
soma kwa kuelewa
 
wewe ni mpumbavu saana na unaleta ujuaji kama uko tayari kwa battle nicheki 0746815931 uone na sio unaropoka ropoka tuu hapa nitafutee
 
wewe ni mpumbavu saana na unaleta ujuaji kama uko tayari kwa battle nicheki 0746815931 uone na sio unaropoka ropoka tuu hapa nitafutee

Acha siasa leta code hapa, IT haeaongei kea maneno kazi zao ndio zinaongea. Mdogo wangu wa wisho anakampuni ya IT toka siku ya kwanza ananza chuo alikua yatari ana account github wewe 5ys huna hata link ya kukutambulisha alfu unajiita IT
 
Back
Top Bottom