Laki Si Pesa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2018
- 5,085
- 9,022
nina laki nahitaji website
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nina laki nahitaji website
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu
kuwa mimi ni web developer kwa miaka takribani 5
ninafahamu PHP, Javascripty,Mysql,CSS,
pia nafahamu laravel na codeignter kwa ufasihi mkubwa pia nafahamu
Kotlin pamoja na Java nafahamu vizuri kabisaa frameworks ya Java spring.
lengo la kuandika huu uzi ni hilii.
1.Nataka mtu ambaye ana ideas ambayo itatuwezesha sisi kupata pesa mimi nita i develop hiyo project bila hata senti moja, ila tuu anihakikihishie baada ya mda flani tutaanza kupata pesa. yeye kazi yake kubwa aweze kuifanyia marketing maaana mimi sio mzuri kwenye kujieleza.
2.Mimi pia nafundisha languages hizo apo juu kwa usahihi na kwa garama nafuu.
karibuni wote ambaye ana Ideas na ambaye anataka kufundishwa.
Namba ya Simu
0746815931
NAKAZIAGit repo??
Nipo compitent na web development and Android ila IOS ndo nasoma hapa react nativeNi jambo jema na hongera, ila ungesema competence yako au wapi unauzika zaidi, umeeleza kidogo sana kushawishi a potential, ila naamini watu wazuri kwenye hayo unazungumza hufanikiwa sana
Na mimi mwenyewe mtamu kwenye hizi mambo moja ya programu zangu katika nyingi
hii haina mshiko kakaMie nimejikita ktk Cyber Security pia nina knowledge kiasi ya kuchapa codes.
Sasa.
Kuna idea moja ya kuunda spyware app ambayo itatumika kufanya udukuzi na pia app yenye persistence kubwa. Ambayo pia itafanya kazi in stealth mode.
Namalizia kuandaa pepa (Manual) kama utakuw interested tutaona nini cha kufanya.
Hahaa900k
Sawa.hii haina mshiko kaka
what is yor price kwa simple app moja
I mean simple app like this....
1. Home screen: User can add/edit/delete expense
2. Contact us page: when they click that, their Gmail app will open and send me an email
3. Handling 1 simple in-app purchase, if user didn't purchase the app, then we show ads
Huyu ni wale IT wa youtube baada ya siku 2 za kuangalia video anajiita na yeye ni IT hapa hamna kitu. Aliambiwa aleta kazi alizo fanya akakimbilia hana github a/c sasa IT gani hatumii github zaidi ya mtu tia maji tia majiKwahiyo boss umeshindwa hata kutofautisha mySql na no Sql database.
Idea itaeleweka kweli?!!!
Nilipo soma tu hii comment nikajua jinga lingine limeingia mjini. Kama unashidwa kutumia akili yako kutoa maelezeo development ndo utawezaacha ujuaji SQL works with many different database systems, so it's not specific to MySQL, but it's a language to know if you want to use MySQL. SQL is also the default query language used by MySQL, so it's easy to learn how to use MySQL without having to learn another language too.
02/5Hakuna binadamu mwenye hobby 1 tu
Ungekuwa na hobby nyingine ungeutumia ujuzi wako wa web design kusupplement hobby yako ya pili
Nitajie tarehe na mwezi uliozaliwa nikuambie kazi nyingine ukifanya utatoboa tofauti na website development
soma kwa kuelewaHuyu ni wale IT wa youtube baada ya siku 2 za kuangalia video anajiita na yeye ni IT hapa hamna kitu. Aliambiwa aleta kazi alizo fanya akakimbilia hana github a/c sasa IT gani hatumii github zaidi ya mtu tia maji tia maji
Nilipo soma tu hii comment nikajua jinga lingine limeingia mjini. Kama unashidwa kutumia akili yako kutoa maelezeo development ndo utaweza View attachment 2803702
wewe ni mpumbavu saana na unaleta ujuaji kama uko tayari kwa battle nicheki 0746815931 uone na sio unaropoka ropoka tuu hapa nitafuteeHuyu ni wale IT wa youtube baada ya siku 2 za kuangalia video anajiita na yeye ni IT hapa hamna kitu. Aliambiwa aleta kazi alizo fanya akakimbilia hana github a/c sasa IT gani hatumii github zaidi ya mtu tia maji tia maji
Nilipo soma tu hii comment nikajua jinga lingine limeingia mjini. Kama unashidwa kutumia akili yako kutoa maelezeo development ndo utaweza View attachment 2803702
wewe ni mpumbavu saana na unaleta ujuaji kama uko tayari kwa battle nicheki 0746815931 uone na sio unaropoka ropoka tuu hapa nitafutee