Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Basi wewe ni rahisi sana kutapeliwa.Kujua mazingira ya mtu anayoishi.
Kujua uwezo wa mtu kichwani.
Kujua tabia ya mtu.
Natazama hair style na shoe style ya mtu baaasi.
Wewe unatazama nini?
HahahahaBasi wewe ni rahisi ssna kutapeliwa.
Yeah,au matapeli kujifanya watumishi wa MUNGUUnamaanisha TISS kwa kujifanya machizi?
Atakua anamzungumzia DUDE WA BONGO DAR ES SALAAM 😊☺️Basi wewe ni rahisi sana kutapeliwa.
Kujua mazingira ya mtu anayoishi.
Kujua uwezo wa mtu kichwani.
Kujua tabia ya mtu.
Natazama hair style na shoe style ya mtu baaasi.
Wewe unatazama nini?
Mlimani city mwanzoni mwa miaka ya 2000???Oooh umenikumbusha dada mmoja miaka ile 2000 mwanzoni. Kaenda mlimami city kaingia duka wanauza jewelry akawa anashangaa na kuuliza uliza. Mara wale wadada wakawa wanamjibu kwa dharau na hasira huku wakiongea wakimkata jicho kali kuwa weee bibie msumbufu bwana.
Alivyona dharau zimezidi akaagiza cheni, hereni, kikuku, kazilipa huyo akatoka zake.
Wale wadada wauzaji wamebaki wametoa macho.
Usipime mtu kwa muonekano.
Akikutana na mrisho mpoto itakuajeBasi wewe ni rahisi sana kutapeliwa.
Nikivaa pensi, tshirt sandals na nimemyoa upara, silver bracelet, silver necklace, silver watch diesel unanitafakari vipi, npo bar
2006-08 hukoMlimani city mwanzoni mwa miaka ya 2000???
HahahaaaUngetoa na mifano kbs viatu hivi ni mtu wa hivi
cutting hii ni wa hv