Statistics
JF-Expert Member
- Sep 22, 2013
- 3,666
- 7,788
2006-08 huko
Jinsia yako tafadhali? kama ni Me unamuangaliaje mwanaume mwenzio kama kavaa mkanda,Hata Mimi nampima mtu kwa
1. Viatu. Kama vimechoka au fasheni nzuri
2. Usafi WA kucha
3. Mkanda
Kwa wanawake
1. Wingi WA mishipa ya shingo na mikononi
2. Kama amesuka ni msuko bei ya kati na kiasi Cha kupauka
3. Saa aliyovaa
4. Anavyopaniki
Nk
Hujakutana na usalama wa taifa wewe hivyo vigezo vyako hamna kituKujua mazingira ya mtu anayoishi.
Kujua uwezo wa mtu kichwani.
Kujua tabia ya mtu.
Natazama hair style na shoe style ya mtu baaasi.
Wewe unatazama nini?
Hapa unapata kujua nini?Wingi WA mishipa ya shingo na mikononi
Mi naona 1 mpaka 9 ni mwanzo.Hiyo ndio mwanzoni mwa 2000?
Kabisaaaa maana akikutana na sisi waiฤizaji atapoteana mazimaBasi wewe ni rahisi sana kutapeliwa.
Kweli kabisa pale kulikuwa pori tu..hii chai.Mlimani city mwanzoni mwa miaka ya 2000???
Mlimani city ilianza utawala wa JK
Kimtokacho mtu ndicho kilicho moyoni (kichwani) mwake.Watu wanakuponda bure TU, ila ukweli upo hapo.
1.mfano Mimi nikutane na mdada ashavuka miaka 25 kavaa hizi yebo kubwaaaa, sijui mkiatu wa manyoya, yani mguuni kiatu kilo mbili nzima, hata kama namfahamu na elimu yake naijua, huwa namuona sumbi TU.
2.wewe kichwani umesuka rainbow, wanja kama paka chongo, una kipin puani, kipini cha ulimi bado pembeni ya jicho. Hereni matundu 5, shingoni una tattoo. Hapana kwa kweli. Kwangu utaingia tu kundi la mashangingi tena wale low.
Amini unacho kiamini.
Mfano kama mjomba Mpoto mara siku peku mara siku rain boot na rasta we unapataga picha gani Kwa huyu public figure wetuKujua mazingira ya mtu anayoishi.
Kujua uwezo wa mtu kichwani.
Kujua tabia ya mtu.
Natazama hair style na shoe style ya mtu baaasi.
Wewe unatazama nini?
View attachment 3135508
You look good ,mwanafyale,vulevule gwee?Vizuri
dalali wa iphone/magari.Msanii, kinyozi,
jiandae kukutana na Saint Satan alie vaa ngozi ya kondoo ili uingie vizuri kwenye 18 zake, akupige tukio vizuri sana ili hatimae iwe fundisho kwa wengine wenye tabia na mipango ya kua na style ya utambuzi ya aina hiyo..Kujua mazingira ya mtu anayoishi.
Kujua uwezo wa mtu kichwani.
Kujua tabia ya mtu.
Natazama hair style na shoe style ya mtu baaasi.
Wewe unatazama nini?
View attachment 3135508
Vipi ukikutana mzee wa kufundisha forex kama huyo ambaye kakosa fedha ya kununua sox unapata wazo gani mkuu?Kujua mazingira ya mtu anayoishi.
Kujua uwezo wa mtu kichwani.
Kujua tabia ya mtu.
Natazama hair style na shoe style ya mtu baaasi.
Wewe unatazama nini?
View attachment 3135508
View attachment 3135515