Mimi nikiwa Rais wa Tanzania huu ujinga wa mechi ya Simba vs Mashujaa kamwe hautakuwepo

Moja ya mambo ntakayofanya ni kuhakikisha huu ujinga wa leo hautakuwepo ntafanya yafuatayo
  • Refa yeyote atakaye panga matokeo baada ya mechi kuisha atakuwa anasubiriwa na defender nje ya uwanja
  • Kabla ya ligi kuanza kila timu itapewa billion 2 kama sehemu ya matumizi ili kuondoa matumizi ya rushwa hii fedha itatolewa na serikali direct
  • Mshindi wa ligi atapewa sio chini ya billion 50 na wa mwisho atapewa billion 10 na hii fedha itatolewa na serikali direct
  • Viwanja vya michezo vitaboreshwa mfano kila mkoa utakua na world-class stadium wenye capacity ya zaidi watu elfu 20
  • Kutakua na world-class training ground
Wale wanaotumia rushwa kwenye michezo hawataonewa huruma

Rais wa Tanzania haruhusiwi kuingilia mpira.
 
  • Wachambuzi wa mpira kwenye radio na tv lazima wawe wamechezea timu ya ligi kuu sio chini ya misimu mitano
Wale wanaotumia rushwa kwenye michezo hawataonewa huruma
Unafikiri mpira ni mali ya Watanzania kama kilivyo kilimo cha jembe la mkono na pembejeo za kukopeshwa?
 
Cheza na fursa wewe, hapa nimeweka mkeka dk ya 88
 
Attachments

  • Screenshot_20250502-185947.jpg
    Screenshot_20250502-185947.jpg
    187.1 KB · Views: 38
Labda huo mpira kama utakuwa unaongozwa chini ya sheria lilizo tungwa na babu yako na si zilizo tungwa na fifa.
 
  • Thanks
Reactions: K11
Labda huo mpira kama utakuwa unaongozwa chini ya sheria lilizo tungwa na babu yako na si zilizo tungwa na fifa.
Wewe wazazi wangu huwajui kwa hiyo endelea kuwatukana huwapunguzii chochote ukichoka utaacha
 
Back
Top Bottom