secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Mkuu unaonekana umeanza kushabikia mpira leo saa kumi alasiri.Kwa kinachoendelea kwenye ligi ya Tanzania ni aibu kubwa sana uongozi uko wapi serious
Moja ya mambo ntakayofanya ni kuhakikisha huu ujinga wa leo hautakuwepo ntafanya yafuatayo
Wale wanaotumia rushwa kwenye michezo hawataonewa huruma
- Viongozi wa vilabu na mpira watachukuliwa hatua Kali sana kama wakifanya ujinga sasahivi wanachekewa
- Refa yeyote atakaye panga matokeo baada ya mechi kuisha atakuwa anasubiriwa na defender nje ya uwanja
- Kabla ya ligi kuanza kila timu itapewa billion 2 kama sehemu ya matumizi ili kuondoa matumizi ya rushwa hii fedha itatolewa na serikali direct
- Mshindi wa ligi atapewa sio chini ya billion 50 na wa mwisho atapewa billion 10 na hii fedha itatolewa na serikali direct
- Viwanja vya michezo vitaboreshwa mfano kila mkoa utakua na world-class stadium wenye capacity ya zaidi watu elfu 20
- Kutakua na world-class training ground
- Wachambuzi wa mpira kwenye radio na tv lazima wawe wamechezea timu ya ligi kuu sio chini ya misimu mitano
Hebu tuliza munkari na jazba then kunywa maji ndipo u-post thread.