Kwa kinachoendelea kwenye ligi ya Tanzania ni aibu kubwa sana uongozi uko wapi serious
Moja ya mambo ntakayofanya ni kuhakikisha huu ujinga wa leo hautakuwepo ntafanya yafuatayo
- Viongozi wa vilabu na mpira watachukuliwa hatua Kali sana kama wakifanya ujinga sasahivi wanachekewa
- Refa yeyote atakaye panga matokeo baada ya mechi kuisha atakuwa anasubiriwa na defender nje ya uwanja mfano refa kyambo anatakiwa achukuliwe hatua Kali za nidhamu
- Kabla ya ligi kuanza kila timu itapewa billion 2 kama sehemu ya matumizi ili kuondoa matumizi ya rushwa hii fedha itatolewa na serikali direct
- Mshindi wa ligi atapewa sio chini ya billion 50 na wa mwisho na hii fedha itatolewa na serikali direct mchanganuo ni kama ufuatavyo (wakwanza billion 50, wa pili billion 48, wa tatu billion 46, wa nne billion 44, wa tano billion 42, wa sita billion 40, wa saba billion 38, wa nane billion, 36, wa tisa billion 34, wa 10 billion 32, wa 11 billion 30, wa 12 billion 28, wa 13 billion 26, wa 14 billion 24, wa 15 billion 24, wa 16 billion 22, wa 17 billion 20, wa billion 18)
- Academy ni billion 20
- Viwanja vya michezo vitaboreshwa mfano kila mkoa utakua na world-class stadium wenye capacity ya zaidi watu elfu 20
- Kutakua na world-class training ground
- Wachambuzi wa mpira kwenye radio na tv lazima wawe wamechezea timu ya ligi kuu sio chini ya misimu mitano
Mpira unaweza itangaza nchi na una-multiplier effects kubwa sana