Mimi nikiwa Rais wa Tanzania huu ujinga wa mechi ya Simba vs Mashujaa kamwe hautakuwepo

Nchi haiwezi kutawaliwa na mtu asiekua na akili timamu hebu toa upuuzi wako hapa
 
Kwa kinachoendelea kwenye ligi ya Tanzania ni aibu kubwa sana uongozi uko wapi serious

Moja ya mambo ntakayofanya ni kuhakikisha huu ujinga wa leo hautakuwepo ntafanya yafuatayo
  • Viongozi wa vilabu na mpira watachukuliwa hatua Kali sana kama wakifanya ujinga sasahivi wanachekewa
  • Refa yeyote atakaye panga matokeo baada ya mechi kuisha atakuwa anasubiriwa na defender nje ya uwanja mfano refa kyambo anatakiwa achukuliwe hatua Kali za nidhamu
  • Kabla ya ligi kuanza kila timu itapewa billion 2 kama sehemu ya matumizi ili kuondoa matumizi ya rushwa hii fedha itatolewa na serikali direct
  • Mshindi wa ligi atapewa sio chini ya billion 50 na wa mwisho na hii fedha itatolewa na serikali direct mchanganuo ni kama ufuatavyo (wakwanza billion 50, wa pili billion 48, wa tatu billion 46, wa nne billion 44, wa tano billion 42, wa sita billion 40, wa saba billion 38, wa nane billion, 36, wa tisa billion 34, wa 10 billion 32, wa 11 billion 30, wa 12 billion 28, wa 13 billion 26, wa 14 billion 24, wa 15 billion 24, wa 16 billion 22, wa 17 billion 20, wa billion 18)
  • Academy ni billion 20
  • Viwanja vya michezo vitaboreshwa mfano kila mkoa utakua na world-class stadium wenye capacity ya zaidi watu elfu 20
  • Kutakua na world-class training ground
  • Wachambuzi wa mpira kwenye radio na tv lazima wawe wamechezea timu ya ligi kuu sio chini ya misimu mitano
Mpira unaweza itangaza nchi na una-multiplier effects kubwa sana
Ukiwa Rais wa TFF au wa nchi? Rais wa nchi hawezi kuingilia mambo ya mpira wa miguu.
 
Hiyo ni mada nyingine
Si mada nyingine kwa sababu pesa hiyo inatoka vyanzo vile vile na ndio maana watu wanashangaa kuona kuna pesa ya magoli, show za wasanii ila bado kuna shule hapa hapa dar watoto wanakaa chini au walimu hawatoshi.
Vipaumbele vyetu...
 
Kama hii ligi yetu ambayo imetawaliwa na uhuni pamoja na upuuzi mwingi kiasi hiki tunaambiwa ni ya tano kwa ubora barani afrika, basi hizo ligi zingine zilizobaki zitakuwa ni ovyo sana... sasa ndio naanza kuelewa ni kwanin waafrika magharibi wengi hawanaga time na kufuatilia ligi za afrika, wao ni ligi za ulaya tu.
 
Aisee
 
Hata uniiteje hunipunguzii kitu yaani unafurahia dhuluma alafu tukae kimya hapana
Eti tukae kimya unadhani wewe ni nani hasa 😳 unajipa umuhimu ambao hauna matatizo ya akili hayo yana kusumbua
 
Nilichokiona mechi ya SIMBA V's Mashujaa ni Simba kushinda na umbumbumbu wa vijana kuleta ushaabiki km wanaofanya kwenye siasa kwa sasa bila kujali maslahi ya watoto wao hapo baadae.

Nina imani Simba angekuwa anacheza wakati tayari keshapoteza matumaini ya ubingwa haya makelele yasingekuwepo.

Nina Imani km Simba angekuwa anacheza na timu ya nje (michuano ya kimataifa) hizi kelele za YANGA zisingekuwepo sana. Km mnakumbuka kipindi SIMBA anaingia robo finali kupitia bao la Kibu refa aliingeza muda wa kutosha dhidi ya wale waarabu na kelele zilitoka kwa mbaaaali sn toka kwa wachambuzi.

Kwani hizo dk 15 alipewa Simba pekee Mashujaa walifungwa miguu.

Mbona hamzungumzi faulo zaidi ya 30 kwa wachezaji wa SIMBA dhidi ya 4 tu za Simba.

Ambae hakuridhika aende CAS maana ndo kuna ligi yenu.
 
Endelea kushabikia dhuluma ila dhuluma haina rafiki wa kudumu
 
Kama hii ligi yetu ambayo imetawaliwa na uhuni pamoja na upuuzi mwingi kiasi hiki tunaambiwa ni ya tano kwa ubora barani afrika, basi hizo ligi zingine zilizobaki zitakuwa ni ovyo sana... sasa ndio naanza kuelewa ni kwanin waafrika magharibi wengi hawanaga time na kufuatilia ligi za afrika, wao ni ligi za ulaya tu.
Umeongea jambo la maana sana alafu ni wachache werevu watakuelewa

Mtu huyo anashabikia dhuluma kwa sababu timu yake inafanya haya ila akija upande wa pili kwenye siasa anataka haki Tanzania kuna vituko sana

Au mtu anaiba ofisi ila akija mtaani akiibiwa anatishia kumuua mwizi ilihali na yeye ni mwizi ila tofauti ni mazingira
 
Umeongea jambo zito sana ndugu yangu, watu wanaona dhuluma ni sahihi kufanyika kwenye mambo fulani tu ya kijamii ambayo wanaamini yana less impact kwenye maisha ya watu, ila kwenye mambo mengine kama siasa wanataka haki.

Sitastahajabu kumuona Heche na Malisa wakishangilia ushindi wa Simba jana ilihali wakijua kabisa umetokana na dhuluma waliofanyiwa Mashujaa.. halafu watu hao hao ni wapigania haki kwenye ulingo wa siasa.

Hili nalo linatafakarisha sana, unakuta mbongo anaiba pesa za miradi ya maendeleo huko kwenye ofisi za uma, halafu mbongo huyo huyo unakuta analalamika kuhusu huduma uduni wa huduma za kijamii, anasahau kuwa yeye pia ana mchango kwenye udumavu wa huduma.
 
Kinachosumbua ni wananchi kugawanyika katika makundi mawili ya u simba na uyanga na kupelekea kila kundi kutunisha msuli dhidi ya kundi lingine kifedha,kihadhi,kifitna,kishirikin....Bahati mbaya viongozi nao wote wapo kati ya hizo timu mbili,fikiria udhaifu wa viongozi wetu kiujumla halafu wawe na upande wao unategemea nini?Ni vigumu kukosekana migogoro kwa aina ya viongozi tulionao KIUJUMLA.
 
Kwa kinachoendelea kwenye ligi ya Tanzania ni aibu kubwa sana uongozi uko wapi serious

Moja ya mambo ntakayofanya ni kuhakikisha huu ujinga wa leo hautakuwepo ntafanya yafuatayo
  • Viongozi wa tff wote na wa vilabu lazima wawe na historia ya kucheza mpira kwenye timu ya ligi kuu angalau misimu sita
  • Wasemaji wa vilabu lazima wawe na historia ya kuchezea kwenye ligi kuu angalau misimu sita
  • Refa yeyote atakaye panga matokeo baada ya mechi kuisha atakuwa anasubiriwa na defender nje ya uwanja mfano refa kyambo anatakiwa achukuliwe hatua Kali za nidhamu
  • Kabla ya ligi kuanza kila timu itapewa billion 2 kama sehemu ya matumizi ili kuondoa matumizi ya rushwa hii fedha itatolewa na serikali direct
  • Mshindi wa ligi atapewa sio chini ya billion 50 na wa mwisho na hii fedha itatolewa na serikali direct mchanganuo ni kama ufuatavyo (wakwanza billion 50, wa pili billion 48, wa tatu billion 46, wa nne billion 44, wa tano billion 42, wa sita billion 40, wa saba billion 38, wa nane billion, 36, wa tisa billion 34, wa 10 billion 32, wa 11 billion 30, wa 12 billion 28, wa 13 billion 26, wa 14 billion 24, wa 15 billion 24, wa 16 billion 22, wa 17 billion 20, wa billion 18)
  • Academy ni billion 20
  • Viwanja vya michezo vitaboreshwa mfano kila mkoa utakua na world-class stadium wenye capacity ya zaidi watu elfu 20
  • Kutakua na world-class training ground
  • Wachambuzi wa mpira kwenye radio na tv lazima wawe na historia ya kucheza timu ya ligi kuu sio chini ya misimu sita
Mpira unaweza itangaza nchi na una-multiplier effects kubwa sana
View attachment 3323533
Vijana wa kitanzania ndo mmefikia hatua hii kweli?
 
Umeongea jambo zito sana ndugu yangu, watu wanaona dhuluma ni sahihi kufanyika kwenye mambo fulani tu ya kijamii ambayo wanaamini yana less impact kwenye maisha ya watu, ila kwenye mambo mengine kama siasa wanataka haki.

Sitastahajabu kumuona Heche na Malisa wakishangilia ushindi wa Simba jana ilihali wakijua kabisa umetokana na dhuluma waliofanyiwa Mashujaa.. halafu watu hao hao ni wapigania haki kwenye ulingo wa siasa.

Hili nalo linatafakarisha sana, unakuta mbongo anaiba pesa za miradi ya maendeleo huko kwenye ofisi za uma, halafu mbongo huyo huyo unakuta analalamika kuhusu huduma uduni wa huduma za kijamii, anasahau kuwa yeye pia ana mchango kwenye udumavu wa huduma.
Ukweli ni kwamba watanzania wengi sana wana-upeo mdogo sana mpaka watu usio watarajia kabisa
 
Back
Top Bottom