Mimi nikiwa Rais wa Tanzania huu ujinga wa mechi ya Simba vs Mashujaa kamwe hautakuwepo

Rais wa Tanzania haruhusiwi kuingilia mpira.
 
Unafikiri mpira ni mali ya Watanzania kama kilivyo kilimo cha jembe la mkono na pembejeo za kukopeshwa?
 
Cheza na fursa wewe, hapa nimeweka mkeka dk ya 88
 

Attachments

  • Screenshot_20250502-185947.jpg
    187.1 KB · Views: 38
Labda huo mpira kama utakuwa unaongozwa chini ya sheria lilizo tungwa na babu yako na si zilizo tungwa na fifa.
 
Reactions: K11
Labda huo mpira kama utakuwa unaongozwa chini ya sheria lilizo tungwa na babu yako na si zilizo tungwa na fifa.
Wewe wazazi wangu huwajui kwa hiyo endelea kuwatukana huwapunguzii chochote ukichoka utaacha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…