Mimi nikiwa Rais wa Tanzania huu ujinga wa mechi ya Simba vs Mashujaa kamwe hautakuwepo

Kwamba rais wa nchi anasimamia mambo ya soka? Jitahidi uwe rais wa shirikisho la soka
 
Ndio maana wewe sio Rais wa Tanzania na kwa fikra hizo hauwezi kuwa.
Umesahau ujinga mmoja, mwekezaji mmoja kwenye timu moja kudhamini timu nyingine zaidi ya 5 kwenye ligi ile ile.
Aaah umesahau ujinga mwingine, klabu kuwa na wanasheria vilaza ambao hawashindi kesi.
 
Kwamba rais wa nchi anasimamia mambo ya soka? Jitahidi uwe rais wa shirikisho la soka
Sio lazima asimamie direct kwani ligi ya saud arabia zile fedha zinatoka wapi
Ile miundombinu ya viwanja unafikiri ni nani aliyejenga
 
Lazima niwe
 
Sio lazima asimamie direct kwani ligi ya saud arabia zile fedha zinatoka wapi
Ile miundombinu ya viwanja unafikiri ni nani aliyejenga
Siasa na soka ni mtu na wifi.. gombea urais mwingine usiongozwe na hisia..by the way mpira wa kibongo bado sana! Huu usimba na Yangq ndo utaendelea kuigarimu timu ya taifa hadi Mzee Mwinyi arudi mara ya pili.
 
unampango wakugombea? Kama nijivyo kura yangu unayo.
 
Na hautakuwa

Kwa mihemko hiyo ya kiutopolo
 
Bunge haliwezi jadili na kupitisha kitu kama hicho
 
Vp ule ujinga wa Yanga na singida ?
 
We unafaa kuwa Rais wa familia yako kama unabisha taja Nchi Moja tu yenye sera kama yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…