MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Rasmi Kocha JUMA MGUNDA ameidhinishwa na CAF kwahiyo atakaa kwenye benchi la Simba SC hapo kesho. Wakati huo huo Kocha NASRIDINNE MOHAMED NABI amezuiwa na CAF kukaa kwenye benchi kwa kukosa vigezo hivyo KAZE CEDRIC ataongoza benchi la Yanga SC.
Nimeitoa katika Ukurasa wa Twitter wa Mchambuzi Mahiri wa Michezo kwa sasa Tanzania nzima, Mwerevu na asiye Mnafiki Jemedari Said Kazumari.
Sasa ngoja nibakie tu Kushangilia Liverpool FC yangu iliyo kwa Wazungu Watu wenye Uweledi na Wanaojitambua.
Haya Juzi Watu wa Yanga SC hasa kupitia Mfungwa na Mdaiwa Wenu Haji Manara mliwacheka na Kuwadhihaki sana Simba SC kuhusu Sakata la Kocha Juma Mgunda huku Mtangazaji Mnafiki na mwana Yanga SC Maulid Kitenge nae akilishadadia mpaka pale TFF walipolitolea Ufafanuzi na likaisha je, na wana Simba SC nao kuanzia leo nao Walipize Kisasi kwa Kuwacheka, Kuwadhihaki na Kuwadharau?
Mnamuita Kocha Wenu Mkuu Nasredinne Nabi kuwa ni Profesa sasa Profesa gani anakosa Vigezo vya Kusimama katika Mechi Kubwa bara la Afrika tena hizi za Klabu Bingwa?
Simba na Yanga zote hamna Kitu!!!!