Mimi nilidhani kwenye Upuuzi ni kule Simba SC tu kumbe hata huku kwa Yanga SC ndiyo kuna Upuuzi zaidi?

Mimi nilidhani kwenye Upuuzi ni kule Simba SC tu kumbe hata huku kwa Yanga SC ndiyo kuna Upuuzi zaidi?

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
Rasmi Kocha JUMA MGUNDA ameidhinishwa na CAF kwahiyo atakaa kwenye benchi la Simba SC hapo kesho. Wakati huo huo Kocha NASRIDINNE MOHAMED NABI amezuiwa na CAF kukaa kwenye benchi kwa kukosa vigezo hivyo KAZE CEDRIC ataongoza benchi la Yanga SC.

Nimeitoa katika Ukurasa wa Twitter wa Mchambuzi Mahiri wa Michezo kwa sasa Tanzania nzima, Mwerevu na asiye Mnafiki Jemedari Said Kazumari.

Sasa ngoja nibakie tu Kushangilia Liverpool FC yangu iliyo kwa Wazungu Watu wenye Uweledi na Wanaojitambua.

Haya Juzi Watu wa Yanga SC hasa kupitia Mfungwa na Mdaiwa Wenu Haji Manara mliwacheka na Kuwadhihaki sana Simba SC kuhusu Sakata la Kocha Juma Mgunda huku Mtangazaji Mnafiki na mwana Yanga SC Maulid Kitenge nae akilishadadia mpaka pale TFF walipolitolea Ufafanuzi na likaisha je, na wana Simba SC nao kuanzia leo nao Walipize Kisasi kwa Kuwacheka, Kuwadhihaki na Kuwadharau?

Mnamuita Kocha Wenu Mkuu Nasredinne Nabi kuwa ni Profesa sasa Profesa gani anakosa Vigezo vya Kusimama katika Mechi Kubwa bara la Afrika tena hizi za Klabu Bingwa?

Simba na Yanga zote hamna Kitu!!!!
 
Kweli kabisa mkuu Nabi hana kigezo cha kukaa benchi na ndio maana msimu uliopita kwenye mechi mbili dhid ya Rives united ulikaa wewe kwenye benchi la Yanga badala ya Nabi. Huku Simba akiwa wamemuweka Hitimana
 
Nabi hakukaa benchi la Uto mechi zote 2 dhidi ya Rivers.
Huyu ni nani?
IMG_20220910_081907.jpg
 
Kweli kabisa mkuu Nabi hana kigezo cha kukaa benchi na ndio maana msimu uliopita kwenye mechi mbili dhid ya Rives united ulikaa wewe kwenye benchi la Yanga badala ya Nabi. Huku Simba akiwa wamemuweka Hitimana
Hii ya Rivers umejitungia, kubali chanzo ni wewe mwenyewe.
 
Alikuwa yeye ila wakati agizo linatoka yanga washatolewa Caf champions league mapema wapo kigamboni wanaogelea ngoma bado ngumu ukisikia kutesa kwa zamu ndo hii
Sio kweli hiyo taarifa ilitoka 10/9/2021
Na mechi ya yanga ilichezwa 12/9/2021
Ko acha kulazimisha uongo uwe ukweli
 
Kweli kabisa mkuu Nabi hana kigezo cha kukaa benchi na ndio maana msimu uliopita kwenye mechi mbili dhid ya Rives united ulikaa wewe kwenye benchi la Yanga badala ya Nabi. Huku Simba akiwa wamemuweka Hitimana
Simba ilimuweka Hitimana baada la Gomes kukosa vigezo licha kuisimamia Simba Sc kwenye michezo kadhaa ya CAF (ukiwemo ule uliomfukizisha kazi Nabi pale Merreikh), kwahiyo kusimama msimu uliopita sio sababu genuine maana hata Gomes aliwahi kusimama.
 
Gomes alisimama kwenye benchi kabla ya CAF kuweka sheria mpya juu ya aina ya vyeti vya makocha, ila baada ya CAF kuweka hiyo sheria ndipo Gomes hakawa hana vigezo. Lakini je wakati huo huo Nabi alikuwa ni miongoni mwa makocha ambao sheria ilipowekwa naye alikuwa ni miongoni mwa makocha wanaoshiriki champions league lakini aliachwa aiongoze yanga wakati sheria ilishawekwa na CAF. sheria ilitolewa tarehe 10 mwezi wa 9 na yanga wakacheza na river tarehe 12
 
Back
Top Bottom