Mimi nilidhani kwenye Upuuzi ni kule Simba SC tu kumbe hata huku kwa Yanga SC ndiyo kuna Upuuzi zaidi?

Nakuonaga una akili kumbe saa nyingine ni mkurupukaji kiasi hiki? Unataka kusema Nabi hakuwepo kwenye benchi ya Yanga dhidi rivers united?
Naona wewe ndo hukunielewa, nimemwambia aliyeleta Taarifa kwamba Nabi hakuwa benchi siku hiyo yeye ndiye chanzo cha Taarifa yake mwenyewe.
 
Baada ya kuwaona hao makocha wapo kwenye benchi nadhan ni sahihi uende kujichamba ndio uje apa
 
Nakuonaga una akili kumbe saa nyingine ni mkurupukaji kiasi hiki? Unataka kusema Nabi hakuwepo kwenye benchi ya Yanga dhidi rivers united?
Kabla ya kuja Yanga Nabi alisimama dhidi ya simba akiwa al Hilal ya Sudan katika sare ya bao 0-0. Vyeti walimpatia wao?
 
Rest in peace MINOCYCLINE!

Sisi tulikupenda sana! Ila kwa bahati mbaya, yule mkuu wa mapopoma wote duniani, alikupenda zaidi.
Kumbe Siku hizi Mfu bado anaweza akawa anaendelea Kuchangia Mada hapa JamiiForums?

Kwa kitendo cha kuombea Kifo changu Majibu yake sasa ni kwamba Wewe ndiyo utaanza huko Kufa kabla yangu na sijawahi kutabiri Jambo halafu kwa 99,99999% lisitokee au lisitimie.
 
Rest in peace means pumzika kwa amani. Hilo la mfu umelileta wewe. Mimi kama mjumbe mwenzako humu jukwaani, nilikutakia mapumziko mema tu ya weekend! Ila wewe umetafsiri tofauti kabisa.

Halafu usiogope kufa! Ni suala tu la muda.
 
Kweli Kufa ni Suala la muda tu ila Wewe hutokufa utabaki Kuilinda hii Dunia Milele si ndiyo?

Pumbavu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…