Mimi nilidhani kwenye Upuuzi ni kule Simba SC tu kumbe hata huku kwa Yanga SC ndiyo kuna Upuuzi zaidi?

FB_IMG_16627979355249508.jpg
 
Rasmi Kocha JUMA MGUNDA ameidhinishwa na CAF kwahiyo atakaa kwenye benchi la Simba SC hapo kesho. Wakati huo huo Kocha NASRIDINNE MOHAMED NABI amezuiwa na CAF kukaa kwenye benchi kwa kukosa vigezo hivyo KAZE CEDRIC ataongoza benchi la Yanga SC.

Nimeitoa katika Ukurasa wa Twitter wa Mchambuzi Mahiri wa Michezo kwa sasa Tanzania nzima, Mwerevu na asiye Mnafiki Jemedari Said Kazumari.

Sasa ngoja nibakie tu Kushangilia Liverpool FC yangu iliyo kwa Wazungu Watu wenye Uweledi na Wanaojitambua.

Haya Juzi Watu wa Yanga SC hasa kupitia Mfungwa na Mdaiwa Wenu Haji Manara mliwacheka na Kuwadhihaki sana Simba SC kuhusu Sakata la Kocha Juma Mgunda huku Mtangazaji Mnafiki na mwana Yanga SC Maulid Kitenge nae akilishadadia mpaka pale TFF walipolitolea Ufafanuzi na likaisha je, na wana Simba SC nao kuanzia leo nao Walipize Kisasi kwa Kuwacheka, Kuwadhihaki na Kuwadharau?

Mnamuita Kocha Wenu Mkuu Nasredinne Nabi kuwa ni Profesa sasa Profesa gani anakosa Vigezo vya Kusimama katika Mechi Kubwa bara la Afrika tena hizi za Klabu Bingwa?

Simba na Yanga zote hamna Kitu!!!!

Ukiona hivyo ujue wewe ndiye mpuuzi. Haiwezikani kuwa watu wote ni wapuuzi ila wewe tu ndiye mzima.
 
Umesahau tu mkuu, hukumbuki mwaka jana Nabi aliongoza benchi la Yanga huko huko CAF

Au waseme imexpaya labda
 
Sio kweli hiyo taarifa ilitoka 10/9/2021
Na mechi ya yanga ilichezwa 12/9/2021
Ko acha kulazimisha uongo uwe ukweli
Kwani agizo na utekelezaji vinaenda pamoja kwa mfano serikali itoe agizo leo tar 10 September iseme kuanzia 28 September marufuku boda boda kuingia mjini hapo utasema agizo limetoka lini halafu mbona hata Gomez mechi za awali alikaa ila alikuja kuzuia baadae hapo nimejitahidi kukuelezea maana katika kitu ambacho sifanyi ni kubishana na mashabiki wa yanga maana wengi ni vilaza wanamsikiliza yule nguruwe pori aliyefurumishiwa virago na babra.
 
Simba ilimuweka Hitimana baada la Gomes kukosa vigezo licha kuisimamia Simba Sc kwenye michezo kadhaa ya CAF (ukiwemo ule uliomfukizisha kazi Nabi pale Merreikh), kwahiyo kusimama msimu uliopita sio sababu genuine maana hata Gomes aliwahi kusimama.
Mkuu mashabiki wa yanga ni vilaza watakuumiza kichwa tu nimemwambia kwa mfano serikali imetoa agizo 1 September kwamba kuanzia 30 September wakulima hawaruhusiwi kupeleka mazao yao nje ya nchi sasa swali hapo ni kwamba wao utopolo wanachukua hyo 1 September ndo utekelezaji hao vilaza
 
Dah! Yaani na wewe umebebwa na mkumbo wa Bin Kazumari..!

Kazumari alitafuta kubalance story na kufifisha mjadala uliokuwepo na ofcoz kwa kiasi flani amefanikiwa

Sent from my CPH2217 using JamiiForums mobile app
 
Rasmi Kocha JUMA MGUNDA ameidhinishwa na CAF kwahiyo atakaa kwenye benchi la Simba SC hapo kesho. Wakati huo huo Kocha NASRIDINNE MOHAMED NABI amezuiwa na CAF kukaa kwenye benchi kwa kukosa vigezo hivyo KAZE CEDRIC ataongoza benchi la Yanga SC.

Nimeitoa katika Ukurasa wa Twitter wa Mchambuzi Mahiri wa Michezo kwa sasa Tanzania nzima, Mwerevu na asiye Mnafiki Jemedari Said Kazumari.

Sasa ngoja nibakie tu Kushangilia Liverpool FC yangu iliyo kwa Wazungu Watu wenye Uweledi na Wanaojitambua.

Haya Juzi Watu wa Yanga SC hasa kupitia Mfungwa na Mdaiwa Wenu Haji Manara mliwacheka na Kuwadhihaki sana Simba SC kuhusu Sakata la Kocha Juma Mgunda huku Mtangazaji Mnafiki na mwana Yanga SC Maulid Kitenge nae akilishadadia mpaka pale TFF walipolitolea Ufafanuzi na likaisha je, na wana Simba SC nao kuanzia leo nao Walipize Kisasi kwa Kuwacheka, Kuwadhihaki na Kuwadharau?

Mnamuita Kocha Wenu Mkuu Nasredinne Nabi kuwa ni Profesa sasa Profesa gani anakosa Vigezo vya Kusimama katika Mechi Kubwa bara la Afrika tena hizi za Klabu Bingwa?

Simba na Yanga zote hamna Kitu!!!!
Hivi hizi taarifa za Nabi kukosa approval ya CAF mmelishwa na kichaa gani uyo?
 
Mkuu mashabiki wa yanga ni vilaza watakuumiza kichwa tu nimemwambia kwa mfano serikali imetoa agizo 1 September kwamba kuanzia 30 September wakulima hawaruhusiwi kupeleka mazao yao nje ya nchi sasa swali hapo ni kwamba wao utopolo wanachukua hyo 1 September ndo utekelezaji hao vilaza
Wewe ndio kilaza. Huo mfan wako ulioweka tunaomba uje na screen shot inayoonesha CAF wameandika kuwa kwanzia lini hiyo sheria inaanza kufanya kazi. Ulikuja na hoja mwanzoni kuwa eti sheria imekuja baada ya Yanga kuwa wameshatolewa na rivers saivi unaamisha magoli. Halafu si ndio wewe uliyesema Nabi hakukaa kwenye benchi katika mechi za yanga dhidi ya rivers saivi umekuja na ngonjera zingine.
 
Kwani agizo na utekelezaji vinaenda pamoja kwa mfano serikali itoe agizo leo tar 10 September iseme kuanzia 28 September marufuku boda boda kuingia mjini hapo utasema agizo limetoka lini halafu mbona hata Gomez mechi za awali alikaa ila alikuja kuzuia baadae hapo nimejitahidi kukuelezea maana katika kitu ambacho sifanyi ni kubishana na mashabiki wa yanga maana wengi ni vilaza wanamsikiliza yule nguruwe pori aliyefurumishiwa virago na babra.
Ulipotaja tu serikali nimeona unafaa kupuuzwa maana huna unalolijua wataka kulazimisha uongo kuwa ukweli.
 
Wewe ndio kilaza. Huo mfan wako ulioweka tunaomba uje na screen shot inayoonesha CAF wameandika kuwa kwanzia lini hiyo sheria inaanza kufanya kazi. Ulikuja na hoja mwanzoni kuwa eti sheria imekuja baada ya Yanga kuwa wameshatolewa na rivers saivi unaamisha magoli. Halafu si ndio wewe uliyesema Nabi hakukaa kwenye benchi katika mechi za yanga dhidi ya rivers saivi umekuja na ngonjera zingine.
Huyu jamaa unayebishana nae hajui lolote ni wakupuuzwa tu
 
Gomes alisimama kwenye benchi kabla ya CAF kuweka sheria mpya juu ya aina ya vyeti vya makocha, ila baada ya CAF kuweka hiyo sheria ndipo Gomes hakawa hana vigezo. Lakini je wakati huo huo Nabi alikuwa ni miongoni mwa makocha ambao sheria ilipowekwa naye alikuwa ni miongoni mwa makocha wanaoshiriki champions league lakini aliachwa aiongoze yanga wakati sheria ilishawekwa na CAF. sheria ilitolewa tarehe 10 mwezi wa 9 na yanga wakacheza na river tarehe 12
Nyie wapumbavu kweli hivi propaganda zinawasaidia nn
 
Back
Top Bottom