GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Mamlaka ya Ubelgiji imekabidhi jino la kiongozi wa uhuru wa Congo Patrice Lumumba, kwa familia yake katika hafla iliyofanyika Brussels. Jino hilo ni sehemu pekee ya mabaki ya mwili wake ambayo inadhaniwa kuwa bado ipo baada ya kunyongwa na kisha mwili wake kuyeyushwa kwa tindikali mwaka 1961.
Chanzo: ITV Tanzania
Kwahiyo hilo Jino ndilo litawafanyeni Wakongo muwe na Amani na kupata Akili za Kujiongoza wenyewe kabisa? Kuna muda siwaelewi Waafrika Wenzangu kwani tunapenda sana Kuendekeza mambo ya Kipuuzi na yasiyo na Tija yoyote Kimantiki na Kimaendeleo.
Kumbe ndiyo maana nyie Wakongo mnachezea mno Vitasa kutoka kwa Rais Kagame na Rwanda na mnastahili sana.