wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 25,190
- 27,434
Katika hali ya kushangaza na ya kushtua dereva bodaboda aliekuwa kavaa koti kinyume (nyuma mbele) na alikuwa hajavaa helment alianguka.
Wakati anagaragara chini kuhitaji huduma ya kwanza mimi nilienda kumsaidia, sasa kwa kuwa alivaa kinyume yaani badala avae kufunika mgongo yeye alivaa kufunika tumbo na kifua alilalia mgongo.
Mimi nilipofika karibu yake nikaona sura ndio imegeukia mgongoni anahitaji shingo igeuzwe nikakanyaga kifuani (hapa nilidhani ndio nakanyaga mgongo sasa)nikageuza shingo,nikaona anapiga kelele huku anashika mikono yangu niache mi nikaongeza nguvu nikavunja kabisa .
Nilipoona ametulia mi nikamwacha akusanye nguvu nikaondoka zangu. Baadae nakuja kukamatwa na polisi kwa mauaji,je?hapo kwani nilikuwa na kosa gani, ingekuwa wewe ungefanyaje.