Mimi nilifanya mtihani wa darasa la saba mwaka 2013, wewe je?

Bob Manson

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2021
Posts
4,158
Reaction score
7,787


Ikiwa siku ya leo wadogo zetu wapo katika mtihani wa kuhitimu elimu ya msingi, nawaombea wamalize salama na wafanikiwe kuwapa faraja wazazi wao kwa matokeo mazuri.

Binafsi nilifanya mtihani huu mwaka 2013, share nasi ni mwaka gani ulimaliza elimu ya msingi...
 
Suala sio kwamba ulifanya au la, suali muhimu ni kwamba sasa uko wapi?
 
Naendelea kukariri majina ya watoto wangu wa JF ,ili siku nikitoboa tu nawatafuta tukale Raha kidimbwi pale .
Vipi mwanangu hujambo lakini?
 

MMESOMA SHULE KIPINDI ELIMU IMEKUFA.
 
Miaka kumi nyuma yako ndugu yangu, yaani 2003!
Hakika siku hazisimami.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…