Mimi nilifanya mtihani wa darasa la saba mwaka 2013, wewe je?

View attachment 3093104

Ikiwa siku ya leo wadogo zetu wapo katika mtihani wa kuhitimu elimu ya msingi, nawaombea wamalize salama na wafanikiwe kuwapa faraja wazazi wao kwa matokeo mazuri.

Binafsi nilifanya mtihani huu mwaka 2013, share nasi ni mwaka gani ulimaliza elimu ya msingi...
Mimi ndiyo natarajia mwaka huu.Mniombee dua njema. Mkishindwa hilo,mniombee hata maji ya kunywa tu.
 
View attachment 3093104

Ikiwa siku ya leo wadogo zetu wapo katika mtihani wa kuhitimu elimu ya msingi, nawaombea wamalize salama na wafanikiwe kuwapa faraja wazazi wao kwa matokeo mazuri.

Binafsi nilifanya mtihani huu mwaka 2013, share nasi ni mwaka gani ulimaliza elimu ya msingi...
BRN. Mitihani ya ku shade majibu kwenye karatasi maalumu ukitumia penseli maalumu zile zenye mistari ya rangi nyeusi na nyekundu. Enzi hizo my numbe one ya Almas ina hit.
 
Back
Top Bottom