MAKANGEMBUZI
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 2,670
- 7,655
2010 Juhudi primary Ukonga Magereza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe unafuta laana sasaNampeleka kortini!Ataandika chini ya uangalizi.
Duh 2013!!.View attachment 3093104
Ikiwa siku ya leo wadogo zetu wapo katika mtihani wa kuhitimu elimu ya msingi, nawaombea wamalize salama na wafanikiwe kuwapa faraja wazazi wao kwa matokeo mazuri.
Binafsi nilifanya mtihani huu mwaka 2013, share nasi ni mwaka gani ulimaliza elimu ya msingi...
Urithi unatafutwa hata kwa nguvu.Unamkumbuka Yakobo?Wewe unafuta laana sasa
Vyema sana2010 Juhudi primary Ukonga Magereza.
Ndyo 2013Duh 2013!!.
Hapo nina miaka minane napiga debe na kubeba mizigo ya wasafiri Kintinku.2007
Wazee wa JF miyeyusho sana. Saivi unaandika hivi baadae nakukuta kwenye uzi wa Kula tunda kimasihara, unatoa ushuhuda.Umejiwahi, we utakuwa umefanya 2019. Inasikitisha kumbe ndio maana JF ya sasa hakuna hoja za maana kwani wengi ni watoto.
Inasikitisha
Wanatoa ushuhuda halafu laki tano-tano zao hawaachi.Wazee wa JF miyeyusho sana. Saivi unaandika hivi baadae nakukuta kwenye uzi wa Kula tunda kimasihara, unatoa ushuhuda.
Sisi wa darasa la nane tunapenda kuchukua tahadhari sanaHatafutwi mtu wala kitu
Aseeh ilikuwa mbele yako mwaka mmoja broh,,Mungu atupe uzima siku tufarijike pamoja
Hizo nguvu mwisho utauwa wenzako kabisaUrithi unatafutwa hata kwa nguvu.Unamkumbuka Yakobo?
Heshima yako mkuu1978
Basi ninyi wakubwa tuelekezeni tujifunze kwenu,, mkilaumu Kuna watoto nadhani sio suluhishoUmejiwahi, we utakuwa umefanya 2019. Inasikitisha kumbe ndio maana JF ya sasa hakuna hoja za maana kwani wengi ni watoto.
Inasikitisha
Natabiri kama una watoto ,mwanao wa mwisho ana miaka 26-29 Hongera sana ! Mungu akupe maisha marefu1981
Bado ni generation moja broh, we keep moving.Aseeh ilikuwa mbele yako mwaka mmoja broh,,
Hawafi ila moto kama jehanam.Hizo nguvu mwisho utauwa wenzako kabisa