Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,158
- 7,787
- Thread starter
- #81
Darasa la nne lile la zamani kabisa au?Sisi wa darasa la nane tunapenda kuchukua tahadhari sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Darasa la nne lile la zamani kabisa au?Sisi wa darasa la nane tunapenda kuchukua tahadhari sana
Halafu kuna wewe mtu mzima na umetoa hii hoja unahisi ni ya maanaUmejiwahi, we utakuwa umefanya 2019. Inasikitisha kumbe ndio maana JF ya sasa hakuna hoja za maana kwani wengi ni watoto.
Inasikitisha
Yeah au tunalingana kabisa😂😂 maake watu wa five yrs wa medicine ndo wamehitimuBado ni generation moja broh, we keep moving.
Kwanini ujiskie vibaya mkuuNajiskia vibaya kujua mimi ni eji gooo
2011 namaliza internship
Hakina formula ila ipo wazi nalikaribia kaburiKwanini ujiskie vibaya mkuu
Na wewe ukiondoka wanao utawaachia nini au madeni tu 😂Hawafi ila moto kama jehanam.
Mimi bado mwaka mmoja tuYeah au tunalingana kabisa😂😂 maake watu wa five yrs wa medicine ndo wamehitimu
Kaburi ni fumbo na hakuna anaye juaHakina formula ila ipo wazi nalikaribia kaburi
Aseeh hongera na pambana ufikie tamanio lako Mimi nilishatunukiwa kitambo kdg 😂😂Mimi bado mwaka mmoja tu
Mimi nilipitia njia ndefu kdgo 😂Aseeh hongera na pambana ufikie tamanio lako Mimi nilishatunukiwa kitambo kdg 😂😂
Penseli ya HB iliyochongoka vizuri🤣Na tuliambiwa tushade kwa usafi maana mitihani ina sahishwa na mashine
Heshima yako Mkuu, mwaka huo hata Mama yangu bado hajazaliwa1974
Na penseli walimu ndyo walikuwa wanauza wenyewePenseli ya HB iliyochongoka vizuri🤣
Ww n mjukuu wang kabisaHeshima yako Mkuu, mwaka huo hata Mama yangu bado hajazaliwa
So mbaya broh.... Kikubwa umalize ukatumikie wananchi 😂Mimi nilipitia njia ndefu kdgo 😂