Mimi nilifanya mtihani wa darasa la saba mwaka 2013, wewe je?

Ukiwa unaingia kwenye ili jukwaa uwage usalimia wakubwa zako
 
Tena jana nilikuwa kkoo wee kuna maua mapya pambeeee ya kwenda kumsutia mwafula🫣😁
😂😂😂 Mwafula lazima asutwe kwa maua pambe..!
Anacheza na majike shupaza?!! Awwwwhee!!

Jana sikushinda kkoo, nilikuwa kwenye kikao kimoja cha wakinga huko Mwanagati 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…