MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Marais tuliopo tujitahidi Kuongoza kwa Haki ili nasi Wananchi Wetu wasije 'Kutushinzo Abe' tukiwa tunaigiza Sinema na akina Rambo na Van Dame au tunalima Karafuu au tunakula Samaki za Feri Magogoni au tunakunywa Mvinyo wa Wagogo.
Kulindwa na 'Makomandoo' siyo Kigezo kuwa 'Makomandoo' wengine wa Kiraia kamwe wakitaka 'Kukushinzo Abe' watashindwa kwani hata 'aliyedonyolewa' Jana ni miongoni mwa Watu wanaoongoza kuwa na Ulinzi mkubwa na wa Wazee wa Kazi tupu ila Mwamba Mmoja tu Kammaliza 'Kimedani' zaidi.
Tuache double standards katika Uongozi na Kuwaongoza Watu kama kweli hatutaki nasi 'Kushinzoziwa Abe' kama Mwenzetu jana huko kwa Watu Wafupi duniani ila waliojaaliwa Akili na Teknolojia ya kila aina.