Mimi nimekata tamaa kabisa... Nimechoka...

Mimi nimekata tamaa kabisa... Nimechoka...

Wanawake wa siku hizi mtatuua sisi wanaume ambao bado tunahisia za mapenzi.

Kuna sehemu huwa naenda mara moja moja kufanya service. Sasa kutokana na kuwa nikipeleka gari huwa napenda kusubiria hapo hapo kufuatilia utendaji wa fundi. Basi nikajenga mazoea ya kukaa kwenye kiduka flani ambacho pia mwenye nacho ni mdada mmoja chotara wa kipare na kiarabu.
Unajiona upo sawa kweli? Unajifanya una huruma sana na wanawake naona hela zako hazina shughuli za kufanya.Nunua mikate na soda kawape wale watoto wa mtaani au tembelea kituo cha wazee na uwape hapo sabuni
 
Pole mkuu ndo wako ivo wanawake wengi sikuhizi,

Mimi Kuna Dem nilichukua namba nikawa tunachat Wazo la kumtaka nlikuwa nalo ila sio muda ule maana nina mke na familia so nikichepuka lazima iwe well organized.

Bas bana siku zikawa zinaenda Mimi Wala Sina shobo nae nikimcheki leo inaweza ikapita siku nne sijamcheki bila kujali uzuri wake, shepu na tako juu.

Juzi si nikamcheki, hee! Nikaambiwa.. "nna njaa"
Mwambie hua unatembea na kiwanda Cha kutengeneza protein nyeupeee nzitoo,akaribie kiwandani.
 
We jamaa boya sana,yan unatoa hela moto hupeleki,peleka moto kaa pembeni,anza kumcontrol,
Binafsi hua nafanya hivi mdada akianza kunipenda penda sichelewi nahakikisha namu utilize vibaya mno napeleka moto vibaya mno, kama ni geto atafua huyo atapika huyo hata kama anakaa Kigamboni mimi Kimara mwisho atakuja kila siku ,na hizo hua ni zile wiki 2 tu za mwanzo
sababu najua huko mbele tutazinguana.
Baada ya hapo natulia sasa kumcheki kama alikua analiatiming za pesa ama lah
 
Masaa matatu baada ya kupewa namba

" Nadaiwa kodi,gesi imeisha na daiwa vikoba, kijumbe kaja anataka hela yake ya mchezo.......luku imeisha........ blah blah blah viatu sina ,begi langu mkanda umekatika.....la la la la la la...... kioo cha simu kivunjika, nywele zangu zimefumuka................sijui nini na nini........naomba UNISAIDIE LAKI 3",halafu anamalizia "YAANI SIJUI HATA NI FANYEJE..."

Mimi demu akianzaga hivyo na namba nafuta najua nimekutana na malaya.
Nascreenshot hii mkuu itakuwa reply yangu nikiombwa hela
 
Mmmh huu Uzi wakutunga.
CD imeruka sehemu nyingi sana.

Halafu usitudhalilishe, hakuna mwanaume boya hivi.
 
Licha ya hizi lawama zote, haujatwambia suala Zima la kimasihara limehusika au liko nje ya mjadala? Yaani haujapata kabisa huduma?

Ulikua na mpango Gani nae?
Kilichokipa kivhefchef ni ulevi wake na tabia ya kujisifia, kukuchafua , au kuomba pesa?
 
Back
Top Bottom