DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 41,728
- 103,997
Asimwonee huruma mwanamke[emoji4]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asimwonee huruma mwanamke[emoji4]
Unajiona upo sawa kweli? Unajifanya una huruma sana na wanawake naona hela zako hazina shughuli za kufanya.Nunua mikate na soda kawape wale watoto wa mtaani au tembelea kituo cha wazee na uwape hapo sabuniWanawake wa siku hizi mtatuua sisi wanaume ambao bado tunahisia za mapenzi.
Kuna sehemu huwa naenda mara moja moja kufanya service. Sasa kutokana na kuwa nikipeleka gari huwa napenda kusubiria hapo hapo kufuatilia utendaji wa fundi. Basi nikajenga mazoea ya kukaa kwenye kiduka flani ambacho pia mwenye nacho ni mdada mmoja chotara wa kipare na kiarabu.
Mwambie hua unatembea na kiwanda Cha kutengeneza protein nyeupeee nzitoo,akaribie kiwandani.Pole mkuu ndo wako ivo wanawake wengi sikuhizi,
Mimi Kuna Dem nilichukua namba nikawa tunachat Wazo la kumtaka nlikuwa nalo ila sio muda ule maana nina mke na familia so nikichepuka lazima iwe well organized.
Bas bana siku zikawa zinaenda Mimi Wala Sina shobo nae nikimcheki leo inaweza ikapita siku nne sijamcheki bila kujali uzuri wake, shepu na tako juu.
Juzi si nikamcheki, hee! Nikaambiwa.. "nna njaa"
Nascreenshot hii mkuu itakuwa reply yangu nikiombwa helaMasaa matatu baada ya kupewa namba
" Nadaiwa kodi,gesi imeisha na daiwa vikoba, kijumbe kaja anataka hela yake ya mchezo.......luku imeisha........ blah blah blah viatu sina ,begi langu mkanda umekatika.....la la la la la la...... kioo cha simu kivunjika, nywele zangu zimefumuka................sijui nini na nini........naomba UNISAIDIE LAKI 3",halafu anamalizia "YAANI SIJUI HATA NI FANYEJE..."
Mimi demu akianzaga hivyo na namba nafuta najua nimekutana na malaya.
Iko hivyo mwanamke asionewe huruma isipokuwa mama yako, period!Mwanamke haonewi huruma ova .