Mimi nimeoa but nina michepuko miwili tu, naombeni mawazo yenu

Hyrax

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2023
Posts
1,458
Reaction score
4,409
Jamani ndugu zangu naombeni mnisaidie mawazo kidogo mimi nimeoa mke mmoja na nina watoto wawili tu but katika pilika pilika za maisha nimejikuta nina michepuko miwili ambayo kiukweli naipenda sana kwanza michepuko yote tumepishana kiumri kama miaka 6 mpaka 10 hivi jambo ambalo kwa mke wangu ambaye tumepishana mwaka mmoja naona huwa linasababisha magomvi yasiyoisha kwasababu ananichukulia kama agemate mwenzie na si kama mumewe.

Mbali na uzuri walionao mabinti hawa pia kila mmoja ananiheshimu mno japo wote ni wafanyakazi mmoja ni daktari wa hospitali moja ya serikali wa pili ni HR kwenye kitengo kimoja cha serikali wakiishi mikoa miwili tofauti.

Katika kutafakari mwisho wa maisha yangu nimefikiria kuwatandika mimba mbilimbili hawa michepuko wote wawili kisha niwajengee nyumba kila moja na yake na kuwafungulia miradi ya kuwaingizia kipato na nitafanya hivyo si kwa ajili yao bali kwa ajili ya hao watoto watakao zaa na mimi lengo kuu likiwa ni kuwa na backup ya uzao wa watoto ambao kama nitakuwa hai basi watanirahishia kufanya mambo yangu kwa wepesi bila kuigusa familia ya ndoa yangu halali lakini pia kama ikitokea tumeachana na mke mkuu basi niwe na pa kujiegesha wakati naelekea uzeeeni najua kati ya hawa wawili kuna mmoja atakubali kunibeba japo si guarantee maana binadamu hubadilika sana hivyo katika kulifikiria hilo nimeamua kujenga nyumba yangu binafsi ambayo haitakuwa na jina la yeyote kati ya hao wanawake ninaowamiliki wala watoto wao ili ikitokea wote wakizingua basi nitaishi mwenyewe kwenye bangaloo langu ambalo sitamshirikisha yeyote hata ndugu yangu kuhusu hiyo mali.

Sasa ndugu zangu wazo langu hilo ni sahihi au nijitafakari upya? lakini kiuhalisia sitaki kuachana na hawa wanawake wawili kwangu ni fahari kubwa mno kuwa nao na ninataka nizae nao kuhusu kuwahudumia haitakuwa tatizo kabisa maana kibunda kipo japo najua kuna wawili kati ya nilionao watazingua ila lazima atabaki mmoja wa kumaliza naye uzee kati ya hawa.

Nitashukuru kwa maoni yenu japo wengine mtanitukana lakini nitakuwa mstahimilivu.
 
Hii dunia inaharibiwa na hiki kiumbe..
Michepuko pekee haimtoshi anaamua kuwapachika mimba na kuwajengea nyumba. Baadae mgogoro unabaki kwa watoto alioaacha yeye ana dead zake mbele. Muendelee tu kufa mapema
 
Hii ni mbuzi 🤣🤣
Hata kama promo ila ina unmaturity sana,sasa unataka tukushauri nini

Wape basi masela mkeo wamtafune ili uachane nae
 
Jamani ndugu zangu naombeni mnisaidie mawazo kidogo mimi nimeoa mke mmoja na nina watoto wawili tu but katika pilika pilika za maisha nimejikuta nina michepuko miwili ambayo kiukweli naipenda sana kwanza michepuko yote tumepishana kiumri kama miaka 6 mpaka 10 hivi jambo ambalo kwa mke wangu ambaye tumepishana mwaka mmoja naona huwa linasababisha magomvi yasiyoisha kwasababu ananichukulia kama agemate mwenzie na si kama mumewe.

Mbali na uzuri walionao mabinti hawa pia kila mmoja ananiheshimu mno japo wote ni wafanyakazi mmoja ni daktari wa hospitali moja ya serikali wa pili ni HR kwenye kitengo kimoja cha serikali wakiishi mikoa miwili tofauti.

Katika kutafakari mwisho wa maisha yangu nimefikiria kuwatandika mimba mbilimbili hawa michepuko wote wawili kisha niwajengee nyumba kila moja na yake na kuwafungulia miradi ya kuwaingizia kipato na nitafanya hivyo si kwa ajili yao bali kwa ajili ya hao watoto watakao zaa na mimi lengo kuu likiwa ni kuwa na backup ya uzao wa watoto ambao kama nitakuwa hai basi watanirahishia kufanya mambo yangu kwa wepesi bila kuigusa familia ya ndoa yangu halali lakini pia kama ikitokea tumeachana na mke mkuu basi niwe na pa kujiegesha wakati naelekea uzeeeni najua kati ya hawa wawili kuna mmoja atakubali kunibeba japo si guarantee maana binadamu hubadilika sana hivyo katika kulifikiria hilo nimeamua kujenga nyumba yangu binafsi ambayo haitakuwa na jina la yeyote kati ya hao wanawake ninaowamiliki wala watoto wao ili ikitokea wote wakizingua basi nitaishi mwenyewe kwenye bangaloo langu ambalo sitamshirikisha yeyote hata ndugu yangu kuhusu hiyo mali.

Sasa ndugu zangu wazo langu hilo ni sahihi au nijitafakari upya? lakini kiuhalisia sitaki kuachana na hawa wanawake wawili kwangu ni fahari kubwa mno kuwa nao na ninataka nizae nao kuhusu kuwahudumia haitakuwa tatizo kabisa maana kibunda kipo japo najua kuna wawili kati ya nilionao watazingua ila lazima atabaki mmoja wa kumaliza naye uzee kati ya hawa.

Nitashukuru kwa maoni yenu japo wengine mtanitukana lakini nitakuwa mstahimilivu.
Uko sahihi.

Tatizo Dunia imehatibiwa na kirusi kuoa/ndoa. Mwanaume unapaswa focus Yako iwe katika kuongeza uzao wako.

Kama una uwezo wa kuwahudumia wanawake, zaa nao kadri uwezavyo.
 
Utakufa Vibaya sana, hakuna hata mmoja kati ya hao atayekuwa 'Royal' to you. Mioyoni mwao wewe sio wa kuaminika kbs.

Kila mmoja atajitahidi akuchune kadiri atakavyoweza.

Kila mama wa Watoto wako huwa anaunda timu yeye na watoto wake dhidi yako. Kumbuka pia kwa kuwa watoto wamepatikana katika hali ya 'distance relationship' upo uwezekano wewe sio biological father.

Utakapozeeka upweke mkuu utaingia , na ndio hapo sonona hutawala ikifuatiwa na kufa Vibaya.
Take care..!
 
Mwanaune unapenda michepuko kuliko mke wako unaona mchepuko ni fahari
You are not serious
 
Nilivyoona career zao wala sijashangaa kuwa michepuko yako.

Ongeza na mchepuko mwingine mwanasheria, maana ndio kundi linaloongoza kuwa single na desperate. Cha msingi ni mfuko wako
 
Vipi umefikia wapi mkuu kwenye jambo lako au umekubali kukatishwa tamaa na manabii wa humu jf??
 
Michepuko miwili tu mbona haitoshi. Ongeza na askari polisi na mwanajeshi kwenye hiyo orodha ili ufikishe walau michepuko wanne.
 
Back
Top Bottom