Mimi nimeoa but nina michepuko miwili tu, naombeni mawazo yenu

Mimi nimeoa but nina michepuko miwili tu, naombeni mawazo yenu

Kiufupi unawaza succession planning,kabla hujajengea michepuko tafakari mkuu kama dini Yako inaruhusu ongeza MKE! Kama haikuruhusu wekeza nguvu kwenye miradi Yako na uishi na mkeo Kwa akili
 
Back
Top Bottom